[emoji91]INAUZWA [emoji91]
SONY EXPERIA XA 1 UTRAL
Display 6"inches
Ram 3gb
Internal 32gb
Network 4G
Android OS 8
Selfie Camera 16MP LED Flash
Camera 21.5 MP LED Flash
Bei 350k
Location Dar
Ninabajeti ya Laki 3.PC HP Inauzwa
- Ni Touch
- Ram Installed 4GB
-Processor Intel
-Location, Sinza
-Price 420,000Tsh
-Condition, Good As New.
-0622543431
View attachment 921906View attachment 921907
Mkuu Ongeza Ifike 380,000.Ninabajeti ya Laki 3.
Ipo hiyo mkuu[emoji91]INAUZWA [emoji91]
SONY EXPERIA XA 1 UTRAL
Display 6"inches
Ram 3gb
Internal 32gb
Network 4G
Android OS 8
Selfie Camera 16MP LED Flash
Camera 21.5 MP LED Flash
Bei 350k
Location Dar
hii bd ikasubiri, Huawei wametoa simu mpya mwez huu "Mate P20 pro", ina camera 3 za nyuma, 40MP + 21MP + 8MP na 24MP mbele, ni best bazeless phone in the world right now, Battery n 4200 mAh, Ram 8gb, storage 256gb, IP68 up to 2M fos 30mns, no 3.5mm headphone jack, na mambo kede kede, huyu jamaa kwenye features ameanza kuwashika pabaya ma GIANTS samsung na iphone japo kuwatoa kwenye reli sio leoMna habari HUWAEI imetoa "smartphone" mpya mwaka huu ioutdoor X IP68 @ $256. Wajuzi mtwambie ubora wake kulinganishana na simu zingine matoleo mapya.
Bado ipoIphone 7 plain
32gb mattblack
Full boxed kila kitu kipo (with original accessories)
Delivery tunafanya sehemu yoyote tunatuma
+255 656 629 061
Tupe beiBado
Bado ipo
950k mkuu ni mpya kabisaTupe bei
mzee tecno kila saa kuna toleo jipya, wateja wa tecno ndo wanaongoza kwa route pale Aggrey na likoma, Umetoka kununua Tecno K 9, upo kwenye daladala huko kiwandani washatoa K 9 Spark, unatia miguu home washatoa K 9 Spark Plus, huja anza hata kuinstall whatsapp Washatoa K 9 Spark Plus Air, mpk unamaliza kuweka dp/status tayar isiakua old modelHivi techno toleo jipya lipo na shingapi