Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

[emoji91]INAUZWA [emoji91]
SONY EXPERIA XA 1 UTRAL
Display 6"inches
Ram 3gb
Internal 32gb
Network 4G
Android OS 8
Selfie Camera 16MP LED Flash
Camera 21.5 MP LED Flash


Bei 350k

Location Dar

Kama unavunja na iphone 5s 32GB nicheck
 
IMG_0292.JPG


Tecno c9 —-180k
Iphone 5s 16 Gb fingerprint okay —250k
Iphone 5s 32 GB fingerprint x —-250k
Zote simu rangi ni gold

Location tabata kinyerezi
Nicheck 0763976109
244ebef8-e154-42be-bf36-b1bc077df9b1.jpg
c732bee4-e1f6-4a22-bfe3-3698d2e22d58.jpg
9eaadb04-7379-400d-9fa1-2e621bf63f40.jpg
 

Attachments

  • IMG_0296.JPG
    IMG_0296.JPG
    42 KB · Views: 36
Mna habari HUWAEI imetoa "smartphone" mpya mwaka huu ioutdoor X IP68 @ $256. Wajuzi mtwambie ubora wake kulinganishana na simu zingine matoleo mapya.
 
[emoji91]INAUZWA [emoji91]
SONY EXPERIA XA 1 UTRAL
Display 6"inches
Ram 3gb
Internal 32gb
Network 4G
Android OS 8
Selfie Camera 16MP LED Flash
Camera 21.5 MP LED Flash


Bei 350k

Location Dar
Ipo hiyo mkuu
 
Mna habari HUWAEI imetoa "smartphone" mpya mwaka huu ioutdoor X IP68 @ $256. Wajuzi mtwambie ubora wake kulinganishana na simu zingine matoleo mapya.
hii bd ikasubiri, Huawei wametoa simu mpya mwez huu "Mate P20 pro", ina camera 3 za nyuma, 40MP + 21MP + 8MP na 24MP mbele, ni best bazeless phone in the world right now, Battery n 4200 mAh, Ram 8gb, storage 256gb, IP68 up to 2M fos 30mns, no 3.5mm headphone jack, na mambo kede kede, huyu jamaa kwenye features ameanza kuwashika pabaya ma GIANTS samsung na iphone japo kuwatoa kwenye reli sio leo
 
Nina IPhone 6 GB 64 brand new fullbox natka 500k fixed.Rangi nyeusi serious business pm
 
Smart Phone LG - G3
Inauzwa
Ram - 4GB
Internal Memory - 64GB
Camera - 13MP
Location - Udsm
Price - 230,000
Condition - 3 months used
Contact - 0738598757
 
Hali ngumu wakuu kimfaacho mtu chake
Nauza laptop HP kwa bei ya Tsh 380000 tu fixed price
Inakaa na charge hadi masaa 6 ikichajiwa
Haina tatizo lolote la kiufundi na haijawahi funguliwa
HDD 500
RAM 2GB
Webcam
CD room Nichek PM au 0752463715 tufanye biashara
3 port
1541527474519-png.923908

1541527474519-png.923908



pc-png.923877
 
Hivi techno toleo jipya lipo na shingapi
mzee tecno kila saa kuna toleo jipya, wateja wa tecno ndo wanaongoza kwa route pale Aggrey na likoma, Umetoka kununua Tecno K 9, upo kwenye daladala huko kiwandani washatoa K 9 Spark, unatia miguu home washatoa K 9 Spark Plus, huja anza hata kuinstall whatsapp Washatoa K 9 Spark Plus Air, mpk unamaliza kuweka dp/status tayar isiakua old model
 
Back
Top Bottom