Hahahah dah jamaa nimecheka sana boss ni kweli asee mpaka unamaliza install whatsapp kuna matoleo kama 10 hivi yamefyatuliwa.mzee tecno kila saa kuna toleo jipya, wateja wa tecno ndo wanaongoza kwa route pale Aggrey na likoma, Umetoka kununua Tecno K 9, upo kwenye daladala kiwandani washatoa K 9 Spark, unatia miguu home washatoa K 9 Spark Plus, huja anza hata kuinstall whatsapp Washatoa K 9 Spark Plus Air
hahaaaa,mkuu wewee, eti kila saa ,i can imagine baada ya siku 2 tu kuna matoleo mapya kibao 😀😀mzee tecno kila saa kuna toleo jipya, wateja wa tecno ndo wanaongoza kwa route pale Aggrey na likoma, Umetoka kununua Tecno K 9, upo kwenye daladala kiwandani washatoa K 9 Spark, unatia miguu home washatoa K 9 Spark Plus, huja anza hata kuinstall whatsapp Washatoa K 9 Spark Plus Air
[emoji23][emoji23]mzee tecno kila saa kuna toleo jipya, wateja wa tecno ndo wanaongoza kwa route pale Aggrey na likoma, Umetoka kununua Tecno K 9, upo kwenye daladala kiwandani washatoa K 9 Spark, unatia miguu home washatoa K 9 Spark Plus, huja anza hata kuinstall whatsapp Washatoa K 9 Spark Plus Air
Daahhhhhh tecno ni kansamzee tecno kila saa kuna toleo jipya, wateja wa tecno ndo wanaongoza kwa route pale Aggrey na likoma, Umetoka kununua Tecno K 9, upo kwenye daladala huko kiwandani washatoa K 9 Spark, unatia miguu home washatoa K 9 Spark Plus, huja anza hata kuinstall whatsapp Washatoa K 9 Spark Plus Air
Mkuu na likoma Tecno spark k7 inasimama ngapi mkuu acha haya maduka ya nje nje kama kuna chimbo unalifahamu wanapondaga kuchukua wale machinga au ma winger.Ahsantehmzee tecno kila saa kuna toleo jipya, wateja wa tecno ndo wanaongoza kwa route pale Aggrey na likoma, Umetoka kununua Tecno K 9, upo kwenye daladala huko kiwandani washatoa K 9 Spark, unatia miguu home washatoa K 9 Spark Plus, huja anza hata kuinstall whatsapp Washatoa K 9 Spark Plus Air
Simu janja Motolora E4 iko sokoni kwa bei chee kabisa ya serious buyers (wanunuzi) wakweli drop your offer here DM/SMS/Call/WhatsApp 0715476787Hallow wana JF, weka picha, mahali ulipo, contact zako na specifications za device yako.
Una duka mkuu au ni hizo tu?Pata original smartphones
Samsung note 8
Brand new
64gb
Price1,300,000 TZS
Samsung s8 plus
Brand new
64gb
Price:-1,050,000 TZS
IPhone 6
Brand new
16gb
Price:-500,000 TZS
64gb
Price:-580,000 TZS
Location:-dar es salaam , kkoo
Phone:-0714750433