Wauza smartphone tukutane hapa

Mkuu naomba unipe somo kidogo simu yangu iliflashiwa lakini baada yay hapo ikawa inaandika emergency calls only yaani sipigi sim wala kuwasha data, niifanyeje, Samsung J7 pro

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu wacha kukariri ngoja nikutaarifu sasa.
Hizo seal unazozitaka especially za iphone siku hizi dealers wa simu tuna zi customize tu kkoo simu moja 5k simu inakuwa sealed kama vile sio refurb.
Hivyo kuangalia seal sio njia ya kujua simu ni brand new or not. Unaweza kuta boxed na sealed kabisa lakini simu ni refurb au fake kabisa.
Kuwa makini


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mkuu sijasema zote sealed ni mpya, ila hakuna mpya isiyo sealed, hizo unazosema ni kweli zipo na nilishawah kusema humu(tena kama week mbili tu hapo juu) nikatoa mfano wa nokia 3310 nikawaasa watu kua hzi simu unakuta fake iliyowekwa kwenye boks og na likapigwa seal,

Hapa nimewaasa wale wanao amini ukiona simu inawaka waka na mastika kibao na ukaletewa boksi basi ni mpya, hii haihtaj kujiuliza, natumai umenielewa.
 

Hivi pale kkoo kuna Duka linauza iphone zisizo refurb au used ? Kwa wazoefu wa kkoo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
bila shaka umeinunua kwa mtu ikiwa used au dukani lakin mtumba sio?
Hivi pale kkoo kuna Duka linauza iphone zisizo refurb au used ? Kwa wazoefu wa kkoo


Sent from my iPhone using JamiiForums
hahaaa mzee kwa iphones na samsung mid and high end kwa k.koo kupata mpya kbsa ni kasheshe, zipo katka maduka machache sana, kununua simu k.koo kama sio mzoefu ni kamaj kubeti, na weng wanaulizwa k.koo ni wanunuzi wa simu,
mwenye duka anakuwinda kukuuzia fake, mbovu, mtumba, refub.
teja anakuwinda kukuuzia ya wizi au housing,
kibaka anakuwinda kukuibia hio hio, mgeni mgeni
kwenda kununua simu hasa ya thamani k.koo na kutoka salama kama ulivyoenda n 25/100.
 

Tuko pamoja mkuu.



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sawa mkuu nitafanyaje iweze kupona?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi pale kkoo kuna Duka linauza iphone zisizo refurb au used ? Kwa wazoefu wa kkoo


Sent from my iPhone using JamiiForums

Mkuu ukitaka iphone brand new isio refurb nenda istore. Tena hapa utazipata kwa bei ya kiumeni na utauona utofauti wa bei. Nakumbuka mara ya mwisho iphone 6 walikuwa wanauza 800k.
Tatizo unakuta mbongo anataka iphone 5s au 6 ambayo ni brand new na sio refurb izo simu apple wameshaacha kuzitoa miaka na miaka huko nyuma utazipatia wapi???
Kitu kingine ukitaka kununua simu brand new isio refurb nunua simu iliotoka mwaka huo au kidogo mwaka jana . Tabia ya apple wakirelease simu mpya wanaacha kabisa kutoa simu za zamani hivyo hizi unazoziona madukani ni either zilizobakia store au refurb (under licence).



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Daka 200k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu nitafanyaje iweze kupona?


Sent using Jamii Forums mobile app
kama ni j-series kwa asilimia kubwa ni yahapa hapa bongo, hapo ĉhakufanya n ku restore original imei, maana inaonesha imebadiishŵa imei, tatzo kwa 90% tatzo litaisha.

NOTE:kama ulinunua kwa mtu usije jaribu kurudisha original imei, mara nying hufanya ĥivi km ni ya wizi au kuokota ili mwenyewe akiitrack kwa kushirikiana na polisi ŵasiipate, ww ukiirudisha tu wanapita na wewe, naandika haya kwa ushaĥidi.
 
Nauza iPad Pro 12.9 (2018 model)
Storage: 64gb
Ram: 4gb
OS: iOS 12.1.4
Display: 12.9 inch (2018 model)
Network: Wifi + 4g LTE
Security: Face ID
Camera: 12mp rear, 7mp front

Contact: 0758740792

Full box, two months used*

Price 2.4m

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…