Nimejaribu kucheki Jumia, sijaona lakini jinsi Huawei walivyotanda kwenye kona za Dar, nina uhakika zitawepo tu! Hata hivyo, nitaangalia alternative nyingine hata kama zipo! Halafu nimevutia zaidi na 8x Max, hususani kutokana na screen size yake pamoja na battery!