Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Anayefaham bei ya Samsung galaxy S9 plus na S10 plus anijuze tafadhal ili nijipime
s9 plus model ya uhakika SM-G965F/DS ni kama 1.2 - 1.5M, S10 Model ya SM-G975F/DS ni 2.2-2.5M.
kumbuka hizi s10-series LEO mida ya usiku kwenye saa tano hv ndio zinaanza kuingia sokoni/kusambazwa rasmi kwa zones and carriers zote.
Watu hawajui tu ila models namba zina matter SANA hasa kwenye samsung na iphones, sasa jichanganye ununue samsung yyt models namb mwisho umeandikiwa V,T,S,ATT n.k, ukipata ambayo haitakusumbua NETWORK kwa mazingira yetu haya shukuru na nenda katoe sadaka, na ukiona inapiga kazi vizuri ujue ilipaswa iwe zaidi ya hapo na ukitaka uone utofauti tafuta F/DS ulinganishe kwenye signal strength (-dbm) au nenda sehem yenye shida ya network ndio utaona tofaut zao
 
Nauza tecno pop 1 ,imetumika mwezi mmoja tu ,risiti ,charger na earphone zipo,bei 125,000Tsh karibuni
IMG_20190307_173558.jpeg
IMG_20190307_173507.jpeg
IMG_20190307_173502.jpeg
Screenshot_20190308-153556.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
s9 plus model ya uhakika SM-G965F/DS ni kama 1.2 - 1.5M, S10 Model ya SM-G975F/DS ni 2.2-2.5M.
kumbuka hizi s10-series LEO mida ya usiku kwenye saa tano hv ndio zinaanza kuingia sokoni/kusambazwa rasmi kwa zones and carriers zote.
Watu hawajui tu ila models namba zina matter SANA hasa kwenye samsung na iphones, sasa jichanganye ununue samsung yyt models namb mwisho umeandikiwa V,T,S,ATT n.k, ukipata ambayo haitakusumbua NETWORK kwa mazingira yetu haya shukuru na nenda katoe sadaka, na ukiona inapiga kazi vizuri ujue ilipaswa iwe zaidi ya hapo na ukitaka uone utofauti tafuta F/DS ulinganishe kwenye signal strength (-dbm) au nenda sehem yenye shida ya network ndio utaona tofaut zao

Mkuu vp kuhusu iphone model ipo sahihi kwa ukanda wetu?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nauza simu ya Xiaomi mi max, internal gb 64, ram 4 gb, camera 16mp kwa 5mp, betri ni 4850 mAh, simu imetumika miezi 5, haina shida yoyote,bei Tsh, 400,000/= nipo dar, no, 0754825238, na 0719442377, maongezi yapo karibuniView attachment 1041618View attachment 1041620View attachment 1041621View attachment 1041624View attachment 1041625View attachment 1041626View attachment 1041627

Sent using Jamii Forums mobile app
200k ipo hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu vp kuhusu iphone model ipo sahihi kwa ukanda wetu?

Sent from my iPhone using JamiiForums
kwa iphone kujua ni mpk utaje kbsa ni iphone ngapi, maana wao Models zao nying kama sio zote hawaweki herufi za kuonyesha/tambua zones/carriers mwishoni, zinakua kama A1688, A1668, A1865, A1900 n.k, ila samsung wao models zao karibia zote humalizia kwa herufi mfano SM-G950F/DS, SM-G950T,SM-G950V n.k na ndio inatambulisha kama simu ni free/global/international, factory unlocked, carrier unlocked au locked,

yaani kwa ufupi hapa tunazungumzia zile simu ambazo kibongo bongo tunaita zilizoflashiwa, mfn unanunua simu tigo au voda inaingia laini ya tigo au voda tu, kwaio unaenda ku i flash ili utumie laini zote! NAHISI UNAELEWA MADHARA YAKE?, sasa hizi ndio wanaita carrier unlocked, na piga ua wewe ukiipata lazima iwe ni mtumba, refublished au vyote kwa pamoja, hizi simu hasa samsung na iphones 90% ndio zimejaa k.koo
 
Jaman tunakumbushana tu:

unapoenda dukani ukaona smartphone imewekwa show off inameremeta na mastika kibao au inatolewa kwenye boks bila boks kuchanwa popote ujue hio SIO mpya, hakuna smartphone inayotoka kiwandani bila kua sealed, narudia tena HAKUNA.

NOTE: sijasema zote sealed ni mpya, kuna wajanja.
 
Jaman tunakumbushana tu:

unapoenda dukani ukaona smartphone imewekwa show off inameremeta na mastika kibao au inatolewa kwenye boks bila boks kuchanwa popote ujue hio SIO mpya, hakuna smartphone inayotoka kiwandani bila kua sealed, narudia tena HAKUNA.
Umenena sana mkuu
Unakuta mtu kisa simu imekuja na box anadai ni brand new, zote ni refub tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom