Duh! Na hiyo ya 290K mwisho ngapi?! Bhana mi sitaki ya bei mbaya wakati lengo ni simu ya kujishikiza kwa sababu kwa sasa sina simu!!!470 top mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Na hiyo ya 290K mwisho ngapi?! Bhana mi sitaki ya bei mbaya wakati lengo ni simu ya kujishikiza kwa sababu kwa sasa sina simu!!!470 top mkuu
Inatoka kwa ngapi hiyo mkuuBado aliye serious na s6 edge anakaribishwa.View attachment 1034262View attachment 1034263View attachment 1034265View attachment 1034266View attachment 1034267View attachment 1034268View attachment 1034269
Sent using Jamii Forums mobile app
Nicheki pm mkuu kama bado ipoRAM ni tatu, na condition yake ni clean kabisa, haina dosari yoyote, iwe ya kimuonekano ama performance.
By the way, thanks for ur offer bt I can't take it.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee niko Moro...kama hujaiuza tufanye biasharaKuhusu location me niko Moro. Ila kama upo mikoa jirani (dodoma, pwani, dar, tanga) nakuletea mimi mwenyewe (nnasafiri kwenye hiyo mikoa mara kwa mara), tofauti na hapo, nitaisafirisha kwenye gari atapokea mtu, atakuletea, utampa cash. Deal Done.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkishindwana njoo tumalize na iphone 5s kwa hyo 250k.Duh! Na hiyo ya 290K mwisho ngapi?! Bhana mi sitaki ya bei mbaya wakati lengo ni simu ya kujishikiza kwa sababu kwa sasa sina simu!!!
s9 plus model ya uhakika SM-G965F/DS ni kama 1.2 - 1.5M, S10 Model ya SM-G975F/DS ni 2.2-2.5M.Anayefaham bei ya Samsung galaxy S9 plus na S10 plus anijuze tafadhal ili nijipime
85 cash ipo tufanye biashara sasa hiviNauza tecno pop 1 ,imetumika mwezi mmoja tu ,risiti ,charger na earphone zipo,bei 125,000Tsh karibuniView attachment 1040873View attachment 1040874View attachment 1040875View attachment 1040876
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko wap mkuuNauza tecno pop 1 ,imetumika mwezi mmoja tu ,risiti ,charger na earphone zipo,bei 125,000Tsh karibuniView attachment 1040873View attachment 1040874View attachment 1040875View attachment 1040876
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna 150!Mwenye 220 aje achukue galaxy note 4 32GB version. Pia mwenye 170 aje achukue Galaxy A5 2015 versionView attachment 1041266View attachment 1041267
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaitaka ipi hapo? Location ni Tabata segerea na namba ni 0763976109
s9 plus model ya uhakika SM-G965F/DS ni kama 1.2 - 1.5M, S10 Model ya SM-G975F/DS ni 2.2-2.5M.
kumbuka hizi s10-series LEO mida ya usiku kwenye saa tano hv ndio zinaanza kuingia sokoni/kusambazwa rasmi kwa zones and carriers zote.
Watu hawajui tu ila models namba zina matter SANA hasa kwenye samsung na iphones, sasa jichanganye ununue samsung yyt models namb mwisho umeandikiwa V,T,S,ATT n.k, ukipata ambayo haitakusumbua NETWORK kwa mazingira yetu haya shukuru na nenda katoe sadaka, na ukiona inapiga kazi vizuri ujue ilipaswa iwe zaidi ya hapo na ukitaka uone utofauti tafuta F/DS ulinganishe kwenye signal strength (-dbm) au nenda sehem yenye shida ya network ndio utaona tofaut zao
200k ipo hapaNauza simu ya Xiaomi mi max, internal gb 64, ram 4 gb, camera 16mp kwa 5mp, betri ni 4850 mAh, simu imetumika miezi 5, haina shida yoyote,bei Tsh, 400,000/= nipo dar, no, 0754825238, na 0719442377, maongezi yapo karibuniView attachment 1041618View attachment 1041620View attachment 1041621View attachment 1041624View attachment 1041625View attachment 1041626View attachment 1041627
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa iphone kujua ni mpk utaje kbsa ni iphone ngapi, maana wao Models zao nying kama sio zote hawaweki herufi za kuonyesha/tambua zones/carriers mwishoni, zinakua kama A1688, A1668, A1865, A1900 n.k, ila samsung wao models zao karibia zote humalizia kwa herufi mfano SM-G950F/DS, SM-G950T,SM-G950V n.k na ndio inatambulisha kama simu ni free/global/international, factory unlocked, carrier unlocked au locked,Mkuu vp kuhusu iphone model ipo sahihi kwa ukanda wetu?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Umenena sana mkuuJaman tunakumbushana tu:
unapoenda dukani ukaona smartphone imewekwa show off inameremeta na mastika kibao au inatolewa kwenye boks bila boks kuchanwa popote ujue hio SIO mpya, hakuna smartphone inayotoka kiwandani bila kua sealed, narudia tena HAKUNA.