Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

picha boss?
Hyo apo
20190406_153555.jpeg
IMG-20190406-WA0153.jpeg
 
Wakuu kwa hapa Tz ntapata wapi simu inayoitwa Google Pixel 3xl!! Nimechek wote wanaouza online via instagram, sijaona. Kama wafaham nijulishe ni wapi tafadhal
20190408_203430_rmscr-1.jpeg
20190408_202814_rmscr-1.jpeg
 
Nauza Iphone 5s 32Gb,finger print inafanya kazi,kiufupi kila kitu kipo fresh...Cover,Charger na Earphone zipo. Bei Tsh.300,000(serious buyer kuna maelewano)
Nichek tufanye biashara...0659495857
Nipo Kigoma mjini
IMG_6062.JPG
IMG_6069.JPG
IMG_6065.JPG
IMG_6068.JPG
IMG_6073.JPG
IMG_6078.JPG
IMG_6071.JPG



Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu izo ni kwa simu zote model yoyote ...na zinauzwa kote nchini

wauzaji tunaogopa kusema ilo neno kwa sababu wateja mnapata maana isio nzuri ndio maana tunasema mpya

ila ni simu nzuri hazina matatizo ...zina warranty ..sticker ile ni kwa ajili ya warranty

kingine znauzwa dunia nzima hadi wamarekani wananunua huku hizo ...australia ...European countries ukija china unaweza prove io


point nyingne why we sell refurbished phones

ni kwasababu ni nafuu compared na brand new kwenye specific stores ivo


kama kwenye magari tu tunavyonunua ex japanese coz ni nafuu kuliko gari ya pale TOYOTA Tanzania ivo tu mkuu hope itawasaidia weng


Sent from my iPhone using JamiiForums

Tufahamu hivi,... Kuna seller refurbished na manufacturer refurbished. Sasa nyingi zinazoletwa na wafanyabiashara wa TZ ni seller refurbished, simu inakuwa imepungua ubora wa hardware kwa zaidi ya asilimia thelathini.
Mfano: Hutolewa battery halisi na kuwekwa battery ambalo sio original kitu ambacho kinaweza kupelekea simu kutokutunza chaji kama ile brand new.

Hardware ubadilishwa baadhi ya vifaa na kupekekea kupungua ubora. Mf: simu inabalishwa housing na inawekwa housing isiyokuwa na watertight seals, na kupelekea kuondoa umadhubuti kwa simu yenye IP Certified Waterproof & Dustproof.

Cha niongeza,... Kweli, kwa nchi zilizoendelea refurbished phone zipo ila ni zile manufacturer refurbished ambazo ni kama mpya kwa asilimia 90

Ahsante.
 
eBay siku hizi wahuni wengi kama kariakoo tu. Amazon ipo vizuri zaidi na uhakika wa kupata bidhaa yako ikiwa salama ni zaidi ya asilimia 95.
Sawa...vp je ukiagiza moja kwa moja kupitia website ya kampuni ya simu husika, huko c uchakuz naona utakua umepungua sana? Kwan kunaweza kua na changamoto yyt hapo?
 
Back
Top Bottom