picha boss?A7 ya 2017
Ram 3gb
Rom 32gb
ina tatizo?
Tafuta Amazon ni pesa yako tu, ila bei zake ni kama HTC.Wakuu kwa hapa Tz ntapata wapi simu inayoitwa Google Pixel 3xl!! Nimechek wote wanaouza online via instagram, sijaona. Kama wafaham nijulishe ni wapi tafadhalView attachment 1066250View attachment 1066251
Tafuta Amazon ni pesa yako tu, ila bei zake ni kama HTC.
2 MillionAmbayo ni shngap?
Haina shida yeyote.. nipo mbeyaina tatizo?
na upo wapi?
2 Million
Nope, umewai kutumia HTC U Series?Sawa ahsante, nilichek juz inakaribiana sana na hiyo kias fln.
Sasa mkuu ni kwamba umeidharau hii pixel mpk uilinganishe na htc kweli au vp. Dah
No sijawah, ni zile HTc one m series tena kwa kuona kwa mtuNope, umewai kutumia HTC U Series?
mkuu izo ni kwa simu zote model yoyote ...na zinauzwa kote nchini
wauzaji tunaogopa kusema ilo neno kwa sababu wateja mnapata maana isio nzuri ndio maana tunasema mpya
ila ni simu nzuri hazina matatizo ...zina warranty ..sticker ile ni kwa ajili ya warranty
kingine znauzwa dunia nzima hadi wamarekani wananunua huku hizo ...australia ...European countries ukija china unaweza prove io
point nyingne why we sell refurbished phones
ni kwasababu ni nafuu compared na brand new kwenye specific stores ivo
kama kwenye magari tu tunavyonunua ex japanese coz ni nafuu kuliko gari ya pale TOYOTA Tanzania ivo tu mkuu hope itawasaidia weng
Sent from my iPhone using JamiiForums
Basi jaribu kuchunguza utajua,... Google Pixel, HTC U Series, ndio best android kwa USA.No sijawah, ni zile HTc one m series tena kwa kuona kwa mtu
Sawa chief..vp nikiagiza via amazon au ebay, uhakika wa kuipata si upo mana hua nasikia tu, sijawah jaribuBasi jaribu kuchunguza utajua,... Google Pixel, HTC U Series, ndio best android kwa USA.
Ni kama tapeli flani...Utarepost sana, umeambiwa weka picha watu tuione we hutaki 🙄
eBay siku hizi wahuni wengi kama kariakoo tu. Amazon ipo vizuri zaidi na uhakika wa kupata bidhaa yako ikiwa salama ni zaidi ya asilimia 95.Sawa chief..vp nikiagiza via amazon au ebay, uhakika wa kuipata si upo mana hua nasikia tu, sijawah jaribu
Sawa...vp je ukiagiza moja kwa moja kupitia website ya kampuni ya simu husika, huko c uchakuz naona utakua umepungua sana? Kwan kunaweza kua na changamoto yyt hapo?eBay siku hizi wahuni wengi kama kariakoo tu. Amazon ipo vizuri zaidi na uhakika wa kupata bidhaa yako ikiwa salama ni zaidi ya asilimia 95.