View attachment 1307634
View attachment 1307636View attachment 1307671
Pamoja na kwamba hizo ni biashara zenu ila nadhani pia msikariri
kuwa Jina tu iPhone bado linasumbua watu
Leo hii watu wapo IPhone 11 ya 2019
unadhani kutoka hiyo 6 kavu hadi iPhone 11 kuna matoleo mangapi mkuu hapo kati?
hiyo yako ni 6 kavu
Angalia kuna
iPhone 6/ 6+
iPhone 6s/6s+
iPhone 7/7+
iPhone 8/8+
iPhone x hadi Leo ipo 11
sasa nawaza mwenye 7,8,10 wao si watauza bei ya gari kabisa?
Fanya biashara mkuu
ona huyo Said anauza
iPhone 7 plus 128 GB kwa Laki 6
hiyo ni reasonable kabisa
iPhone 10r anauza Laki 9 na 50
sasa boss wewe hiyo 6 kavu au kisa ni Plus ambayo
hata ios yake tu huwezi kupata update
coz zilishatolewa kwenye system
unakomaa bei hivyo?
Punguza watu wanunue rafiki yangu
Nisamehe iwapo nimetumia maneno makali