Mkuuu hapa nazungumzia dukaniii...Ukitaka yote hayo kanunue dukani, simu hizi za kuuziana mikoni mpka mabox na mashariti kibao wkt mtu anauza either ana emergency au kaichoka simu anabdilisha huo mda wa kutunza box la simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo bei ukipata basi ni mbovu... vile vile hakuna 7s..
Iphone 7s ipo..
Mkuu hakuna s series kwenye 7 embu tuma hiyo 7s hapaIphone 7s ipo..
Wana matoleo manne
Iphone 7,
Iphone 7s,
Iphone 7 plus &
Iphone 7s plus.
Nyingne hazifahamiki sana sbb hazisambai SANA kwenye zones zote.
Ipo mzee hope kuanzia iphone 5 wanatoa ba S series Mpk sasa tuna XS max, sijajua kwenye 11-series.Mkuu hakuna s series kwenye 7 embu tuma hiyo 7s hapa
Ipo mzee hope kuanzia iphone 5 wanatoa ba S series Mpk sasa tuna XS max, sijajua kwenye 11-series.View attachment 1310009View attachment 1310010
Ulikua sahihi Mkuu..mkuu imekosewa hio hakuna 7s ....kwanza apple waliazisha io "s" kama correction ya vtu vilivyofanywa au upgrades kdogo za hilo toleo ilitokea kwa iphone 5 na 6 ....after hapo s imekuja tena kwenye x bas
mm nipo sana masokoni huku china so cm nazifahamu ...i hope utakua umenielewa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni kweli haipo na nimethibitisha kwa kuingia kwenye pg yao na gsmarena kote haipo..Mkuu hakuna s series kwenye 7 embu tuma hiyo 7s hapa
Thank you, niliipata kwa hiyo bei kweliLaki tano na nusu unapata mpya dukani.
Uko fresh mkuu ,ichambue na A70
Hii ni Simu ya Samsung Galaxy A50, ambayo ni miongoni mwa simu za bei nafuu kutoka Samsung. Kwenye hiii video naelezea experience yangu ya kutumia hiii simu kwa miezi 7 ili na wewe uelewe kama unaplan ya kutaka kuinunua hii simu na pia kukupa ushauri wa vitu vya kuangalia katika hii simu.
Nimekubali MzeeUlikua sahihi Mkuu..Ni kweli haipo na nimethibitisha kwa kuingia kwenye pg yao na gsmarena kote haipo..
Ila kwenye pg nyingne za kizushi wameiweka..
Nikagundua ni usanii..
Yote kwa yote ni kweli haipo na mm ndio najua leoo..
Nimesoma na sbb za ku iskip pia..
Nilijua waliskip 8s na 9 tuu kumbe hata 7s..
Asanteni kwa kunijulishaa
Ni 7 & 7+ tu...
Nimesoma leo fununu kutoka iceuniverse pia Samsung wana dalili za ku skip S11 mpk S20...
Sbb tumeanza muongo mpya wa 202..
Inacheza kwenye 300k..
Yeye anataka ya elfu50 bro wewe unamuandikua laki 2 na ushehe
Yeye anayaka ya elfu50 bro wewe unamuandikua laki 2 na ushehe