reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,813
- 21,807
Mkuuu hapa nazungumzia dukaniii...Ukitaka yote hayo kanunue dukani, simu hizi za kuuziana mikoni mpka mabox na mashariti kibao wkt mtu anauza either ana emergency au kaichoka simu anabdilisha huo mda wa kutunza box la simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaekuuzia mkononi ya kwake atachanganyaje ma boks?
Na haya mambo yote yanatokeaa