Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Ukitaka yote hayo kanunue dukani, simu hizi za kuuziana mikoni mpka mabox na mashariti kibao wkt mtu anauza either ana emergency au kaichoka simu anabdilisha huo mda wa kutunza box la simu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuuu hapa nazungumzia dukaniii...
Anaekuuzia mkononi ya kwake atachanganyaje ma boks?
Na haya mambo yote yanatokeaa
 
Iphone 7s ipo..

Wana matoleo manne
Iphone 7,
Iphone 7s,
Iphone 7 plus &
Iphone 7s plus.

Nyingne hazifahamiki sana sbb hazisambai SANA kwenye zones zote.
Mkuu hakuna s series kwenye 7 embu tuma hiyo 7s hapa
 
Mkuu hakuna s series kwenye 7 embu tuma hiyo 7s hapa
Ipo mzee hope kuanzia iphone 5 wanatoa ba S series Mpk sasa tuna XS max, sijajua kwenye 11-series.
Screenshot_2020-01-02-11-19-08.jpeg
Screenshot_2020-01-02-11-21-37.jpeg
 
Ipo mzee hope kuanzia iphone 5 wanatoa ba S series Mpk sasa tuna XS max, sijajua kwenye 11-series.View attachment 1310009View attachment 1310010

mkuu imekosewa hio hakuna 7s ....kwanza apple waliazisha io "s" kama correction ya vtu vilivyofanywa au upgrades kdogo za hilo toleo ilitokea kwa iphone 5 na 6 ....after hapo s imekuja tena kwenye x bas

mm nipo sana masokoni huku china so cm nazifahamu ...i hope utakua umenielewa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimekubali Mzee

Ulikua sahihi Mkuu..
Mkuu hakuna s series kwenye 7 embu tuma hiyo 7s hapa
Ni kweli haipo na nimethibitisha kwa kuingia kwenye pg yao na gsmarena kote haipo..

Ila kwenye pg nyingne za kizushi wameiweka..
Nikagundua ni usanii..

Yote kwa yote ni kweli haipo na mm ndio najua leoo..

Nimesoma na sbb za ku iskip pia..

Nilijua waliskip 8s na 9 tuu kumbe hata 7s..

Asanteni kwa kunijulishaa

Ni 7 & 7+ tu...

Nimesoma leo fununu kutoka iceuniverse pia Samsung wana dalili za ku skip S11 mpk S20...

Sbb tumeanza muongo mpya wa 202..
 
Hii ni Simu ya Samsung Galaxy A50, ambayo ni miongoni mwa simu za bei nafuu kutoka Samsung. Kwenye hiii video naelezea experience yangu ya kutumia hiii simu kwa miezi 7 ili na wewe uelewe kama unaplan ya kutaka kuinunua hii simu na pia kukupa ushauri wa vitu vya kuangalia katika hii simu.
 
Uko fresh mkuu ,ichambue na A70

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure...na S11e itakua s20...s11 itakua s20 plus na s11 plus itakua s20 ultra....lets wait n see.
Nimekubali MzeeUlikua sahihi Mkuu..Ni kweli haipo na nimethibitisha kwa kuingia kwenye pg yao na gsmarena kote haipo..

Ila kwenye pg nyingne za kizushi wameiweka..
Nikagundua ni usanii..

Yote kwa yote ni kweli haipo na mm ndio najua leoo..

Nimesoma na sbb za ku iskip pia..

Nilijua waliskip 8s na 9 tuu kumbe hata 7s..

Asanteni kwa kunijulishaa

Ni 7 & 7+ tu...

Nimesoma leo fununu kutoka iceuniverse pia Samsung wana dalili za ku skip S11 mpk S20...

Sbb tumeanza muongo mpya wa 202..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauza samsung galaxy Tab A6

Android 5.1.1 lollipop
Storage gb 8
Ram 2gb
Betry 4000 mAh
Bado ipo kwenye hali nzuri sana

Bei laki moja na sabini tu.

170000 tu.

Mawasiliano

0692792519

0719590756
20200102_214951.jpeg
20200102_215014.jpeg
20200102_215004.jpeg
20200102_215025.jpeg
20200102_215033.jpeg
20200102_215055.jpeg
20200102_215410.jpeg
 
Back
Top Bottom