swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,628
SAMSUNG A20s mpya full Box
MEMORY 32 GB
RAM 3 GB
warranty ipo ya mwaka mzima
Simu ni mpya haijawahi kutumika
Nicheki 0677 308324
Location - Dodoma
View attachment 1371509
View attachment 1371510View attachment 1371512View attachment 1371513View attachment 1371514View attachment 1371515
PHONE: TECNO SPARK 2
DISPLAY:6HD+
CAMERA:8MP + 13MP
PHONE SECURITY: FACE ID UNLOCK
*It has portrait mode*
CONDITION: NEW (BOXED)
PRICE:280,000 Tsh
LOCATION: KARIAKOO & SINZA MADUKANI
Inquiries: 0714 036595 Whatsapp& Call.
Una mda gani hujachukua mzigo wa jumla?Boss mbona hii umeianzia juu sana coz hata sisi Tulioko huku Kigoma..Tunauza na kununua Tsh 200,000/= Hadi Tsh 220,000/= Mpya Dukani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Una mda gani hujachukua mzigo wa jumla?
Baada ya mlipuko wa CORONA VIRUS, ushacheki na agent anaye kupa mzigo??
Afu kingine hii ni biashara ukiona bei yangu juu post bei chini uuze.
Una mda gani hujachukua mzigo wa jumla?
Baada ya mlipuko wa CORONA VIRUS, ushacheki na agent anaye kupa mzigo??
Afu kingine hii ni biashara ukiona bei yangu juu post bei chini uuze.
Boss swali lako lilikaa kimshangao umeshangaa hadi na mimi nimeshangaa.Halafu siyo kila anayeuliza bei ya bidhaa zako Umchukulie negative au umchukulie naye ni muuza simu hivyo ana lengo la kukuharibia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss mbona kama swali lako la kwanza ndo lilikuwa la MHIMU ningekujibu tu.kuwa ni lini nimeagiza simu?(kama nauza simu) Hapo mwisho ni kama umeniattack sina nia ya kukuharibia Biashara boss nimekuuliza tu kiungwana ndg..ungejibu tu kuwa huenda baada ya Corona Simu imepanda bei na kutoka 200k hadi 280k. Simple..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Baba Naona ni kawaida yake....Halafu siyo kila anayeuliza bei ya bidhaa zako Umchukulie negative au umchukulie naye ni muuza simu hivyo ana lengo la kukuharibia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Bob hujaquote mtu kistaharabu unataka onekana unajua kumbe kimbute, nyie ni wajuaji vichefu chefu.Mzee Baba Naona ni kawaida yake....
Hata mm juzi nilimquote kistaarab tuu ila ghafla akapanic Akaanza kuniattack mm badala ya hoja.....
Hivyo hivyo akasema nimuuzie yangu..
wakati Sifanyi hio biashara kwa sasa ila nina uzoefu nayo...
Mara ooh ujuaji, Mara kichefu chefu.....
Bahati Mbaya mm Sijibu vby....
Kuna sehem nilitumia lugha kali/Chafu Mzee baba zaidi ya kueleweshana na kujitahid kukushusha Temper?Bob hujaquote mtu kistaharabu unataka onekana unajua kumbe kimbute, nyie ni wajuaji vichefu chefu.
Boss lugha ya biashara huwezi nifundisha wewe, nimezaliwa kwenye familia ya biashara, nimefanya biashara toka utotoni kwangu hadi sasa.Kuna sehem nilitumia lugha kali/Chafu Mzee baba zaidi ya kueleweshana na kujitahid kukushusha Temper?
Kama ipo ni quote au weka hapa screenshot UNIUMBUE...
Tafta Comment zangu zotee... JF km utaona nilishawah Mtolea Mtu lugha chafu..
Boss Humu humu ndio unaweka tangazo upate wateja...
Humu humu Unawaponda wateja wakitaka ku reason biashara/bidhaa yako...
Kwa mwemvuli wa Ujuaji...
Hivi boss mtu kujua bei ya kitu ni ujuaji unamsakama....?
Halaf baadae unaweka tangazo Tena?
Haya... Yeye hata asipokuja kununua kwako km unavyosema humlazimishi...
Unahisi wengine wanao ona Majibu yako
wataelewaje biashara yako?
Pengne utasema Hata wasipokuja Watakuja wengne....Hizi ni kauli zetu wengi...Ila ukweli Ni kukosea...
Na ndio kweli huwezi kosa wateja... ila Ungewapa Lunga nzuri ungewapata zaidi ya hao....
Kuna watu wanashawishika tuuu kuja kwako...
Sio sbb una bei ndogo, ila lugha yako kwao tuu ni kivutizi kikibwa..
Tulia kaka....
Jarb tu kua na lugha nzuri, sio tuu kibiashara bali hata kiungwana/kibinadamu...
Mzee baba hapa Hatuwezi kuanza kuelezea Status za familia zetu na background zao, Umri wetu, Sijui biashara za ukoo, Maana mwingne anasema anauza kumbe ni dalali au mwajiriwa.... Hivyo tutadanganyana tuu,Boss lugha ya biashara huwezi nifundisha wewe, nimezaliwa kwenye familia ya biashara, nimefanya biashara toka utotoni kwangu hadi sasa.
Najua mteja wa kununua kitu, najua mteja wa kuuliza bei ajipange, najua mtu mnafiki aulize bei aseme kubwa.
Sikuona haja ya wewe kuja kusema ndio nilivyo!! Seriously? Kuna watu kama wewe na wenzako ni wapuuzi mnataka onekana mnajua kila kitu, lakini huna unalojua boss zaidi ya kukaa nyuma ya keyboard kuandika ujumbe mrefu kuonyesha hisia zako lame ass.
Tusiongelee tu humu weka biashara mtaani niweke biashara uone nani ni mwalimu na yupi ni mwanafunzi.
Afu boss mteja ataye acha kununua kwangu kisa nimekujibu wewe na wenzako wajuaji wa mtandaoni, ushauri tu lugha ya biashara unayo wasiliana na mimi nikupe ways za kupata mzigo hata kwa credit afu njoo uza 0714036595.
Mwisho boss wangu usipende kuwa centre of attention.
Afu unayebishana nae anaweza kuwa mjukuu wako au mtoto such a shame to you boss.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe utakua dalali au muuza/mlinda goli unatuzuga tuu hapa upate cha juu...Boss lugha ya biashara huwezi nifundisha wewe, nimezaliwa kwenye familia ya biashara, nimefanya biashara toka utotoni kwangu hadi sasa.
Najua mteja wa kununua kitu, najua mteja wa kuuliza bei ajipange, najua mtu mnafiki aulize bei aseme kubwa.
Sikuona haja ya wewe kuja kusema ndio nilivyo!! Seriously? Kuna watu kama wewe na wenzako ni wapuuzi mnataka onekana mnajua kila kitu, lakini huna unalojua boss zaidi ya kukaa nyuma ya keyboard kuandika ujumbe mrefu kuonyesha hisia zako lame ass.
Tusiongelee tu humu weka biashara mtaani niweke biashara uone nani ni mwalimu na yupi ni mwanafunzi.
Afu boss mteja ataye acha kununua kwangu kisa nimekujibu wewe na wenzako wajuaji wa mtandaoni, ushauri tu lugha ya biashara unayo wasiliana na mimi nikupe ways za kupata mzigo hata kwa credit afu njoo uza 0714036595.
Mwisho boss wangu usipende kuwa centre of attention.
Afu unayebishana nae anaweza kuwa mjukuu wako au mtoto such a shame to you boss.
Boss kuwa dalali kuna lipa madalali wanafanya vitu vya maana ila wewe dick rider upo humu kuniita dalali mlinda lango namwaribia mhindi biashara SMH....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe utakua dalali au muuza/mlinda goli unatuzuga tuu hapa upate cha juu...
Bahati mbaya Sikuhz watu wamekua wajanja...
Tecno Spart 2 = 280,000/=?
Note 5 = 600,000/=?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii bei hata bibi yangu hanunui.....
Tulia jamaa anakuambia ukweli...
Unamharibia Mhindi wako biashara kibarua kiote nyasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Familia ya biashara itakua wewe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe bana Una stress za pesa acha Maneno...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Boss kuwa dalali kuna lipa madalali wanafanya vitu vya maana ila wewe dick rider upo humu kuniita dalali mlinda lango namwaribia mhindi biashara SMH....
Bibi yako hawezi nunua simu hizo wala, you just drag her in here awe abused useme hatuna adabu.
Binafsi udalali nimefanya, nimedalalia vioo vya magari na rims, sio kitu cha ajabu.
Simu natia pesa boss kubwa
Msongo tena?? Nipo kitambo natengeneza pesa. Simu za boss yupi mhindi??Wewe bana Una stress za pesa acha Maneno...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe Naamini ni muuza simu za boss...
Unataka upge watu cha juu.....
Mm napenda watu wa Maneno machafu km nyie halaf mkinjibiwa mna panic maana hata mm nilikua hivyo..
Mm situkani ila
NINA MANENO YA KUKERA....
Huu msongo wa mawazo umeanza lini?
Acha Njaaa mkuu...Una mda gani hujachukua mzigo wa jumla?
Baada ya mlipuko wa CORONA VIRUS, ushacheki na agent anaye kupa mzigo??
Afu kingine hii ni biashara ukiona bei yangu juu post bei chini uuze.
Wewe Nishakujaga Dukani unapouza...Msongo tena?? Nipo kitambo natengeneza pesa. Simu za boss yupi mhindi??