TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,763
- 1,830
Kariakoo & Sinza 0714 036595.Uko wap?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kariakoo & Sinza 0714 036595.Uko wap?
0714 036595Naweza kupata battery [emoji367] la W3 tecno View attachment 1381046View attachment 1381047 nipo dar fasta
Sent from my iPhone using JamiiForums
Fundi simu nna samsung a 20 imekufa kioo naweza kupata kwa sh ngapi? Na je nikiamua kuiuza cm hvo hvo mbovu itauzika kwa sh ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
oi boss ushapataHello Jossiest, nahitaji Samsung 2 za kiwango kwa 150K each, ninayo laki 3 hapa
Mbona imechoka sana!
0714 036595.
iphone 6s plus inaenda ngapi mkuuPHONE :iPHONE 6PLUS
CAPACITY: 16GB
BATTERY:100%
COLOUR: SPACE GRAY
CONDITION: CLEAN
PRICE: 380,000
LOCATION: SINZA MADUKANI & KARIAKOO @itechnology
Inquiries: 0714 036595
16GB - 470,000 mpyaiphone 6s plus inaenda ngapi mkuu
150k comeOFFER [emoji4]
SAMSUNG A10
USED KWA MUDA MFUPI
CLEAN CONDITION
BEI YAKE 220,000/=
LOCATION; UDSM
CALL OR TEXT: 0783430151
Yeah i remember ile issue ya note 5 kwa laki sitaMzee Baba Naona ni kawaida yake....
Hata mm juzi nilimquote kistaarab tuu ila ghafla akapanic Akaanza kuniattack mm badala ya hoja.....
Hivyo hivyo akasema nimuuzie yangu..
wakati Sifanyi hio biashara kwa sasa ila nina uzoefu nayo...
Mara ooh ujuaji, Mara kichefu chefu.....
Bahati Mbaya mm Sijibu vby....
Wana jukwaa kwema......
Kama week 3 nyuma humu nilikua naweza bei za bidhaa, kuna baadhi ya watu walikuja juu bei kubwa, dalali,umeajiriwa na mhindi etc.
Nikawapa jibu moja kwa kipindi hiki bidhaa zinapanda na kama kuna mfanyabiashara ana mzigo store hauzi tena jumla, bado wakabisha.
Basi njoeni mtaani tufanye biashara maana mtaa ndio una majibu mazuri sio JF ikawa kimya.
Jana Dubai wamefunga mipaka yao na hakuna ndege kuingia.....
Dubai ndio ilikua imebaki kwa wafanyabiashara kwenda chukua mzigo.
Tutarajie vitu kupanda bei sana leo simu utaulizia bei unaambiwa 600,000 baada ya siku kadhaa utakuta 1,200,000.
Karibuni mtaani kwenye maisha halisi.