Wauza smartphone tukutane hapa

Kamanda
1.Namba ujaweka
2.picha ujaweka

Ujasoma muongozo wa biashara humu
Hiyo picha naipiga vipi wakati simu ninayouza ndio yenye camera au inaweza jipiga picha mkuu? Kuhusu namba km unania njoo pm nitakupatia lkn simu ni mpya jaijamaliza hata mwezi
 

Attachments

  • 1585693988093423421727920463677.jpg
    86.1 KB · Views: 2
  • 15856942465591193158880071358911.jpg
    77.3 KB · Views: 2
Tecno spark 4 mpyaaa haina tatizo lolote haijamaloza mwezi toka niinunue bei Tsh 200, 000/= kwa maelezo zaidi njoo pm
 

Attachments

  • 2354852_15856942465591193158880071358911.jpg
    77.3 KB · Views: 2
  • 2354851_1585693988093423421727920463677.jpg
    86.1 KB · Views: 2
S7 edge, Haina tatizo lolote, ukitaka na selfie tunapiga, bei 340,000... exchange kwa samsung A series ya line mbili ipo.
 

Attachments

  • 1585226909582.JPEG
    29.7 KB · Views: 2
  • 1585226911852.JPEG
    36.3 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…