Wauza smartphone tukutane hapa

Kuna jamaa jana alikuja hapa na kutahazarisha watu kuhusu simu zenye stickers from China and Dubai.
Alisema wazi kabisa hizo simu ni feki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli mkuu. Ni used hizo, nyingine zimefanyiwa refurbished, tena wamebadili battery tu au housing, parts zote ni OG, ingekuwa ni fake watu wangelizwa mno! Maana ndio simu zimejaa madukani huku kwetu, tena wanaweza wakatoa hizo sticker ikawekwa ndani ya box sealed ikauzwa kwa bei ya mpya, ila sina haja ya kudanganya utauziwa kulingana na bei ya condion yake.
Hapa TZ watu wanauziwa hizo kwa bei ya mpya kitu ambacho si sawa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1429649
Nakupa ushauri wa Bure tu
Usithubutu kununua Simu hizi
Zenye Sticker za kichina au Majina ya watu
Simu hizi nikutoka China na Dubai


Sent using Jamii Forums mobile app

Naomba tafadhari mtusaidie kufafanua, maana inatuchnganya wateja.
 
Nimeeleza hapa
Naomba tafadhari mtusaidie kufafanua, maana inatuchnganya wateja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samsung Galaxy S6 Gb32,Ram3gb.imetumika siku moja Aina shida yoyote mtumiaji alitaka double line ameletewa single line now inauzwa box la simu watoto wameendesha kama gari limechanika..bei aipungui 250000/=
Call/whtsapp 0676744827

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha sasa mkuu wanunulie watoto toy bana sasa ona wameharibu box la simu wkt imetumika siku 1 tu
Sema umenichekesha sana ulivyojihami mkuu
Eti watoto wanaendesha km gari dah una mbinu kari ya biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tecno spark 4 Bado ni mpya nimeitumia kidogo nahitaji 190,000/= nipo dsm
 

Attachments

  • 20200426_202451.jpg
    95.2 KB · Views: 5
  • 20200426_202409.jpg
    91.1 KB · Views: 5
  • 20200426_202417.jpg
    84.1 KB · Views: 5
  • 20200426_202517.jpg
    102.7 KB · Views: 5
  • 20200426_202423.jpg
    104.8 KB · Views: 4
  • 20200426_202430.jpg
    111.5 KB · Views: 4
  • 20200426_202350.jpg
    101.6 KB · Views: 4
  • 20200426_202331.jpg
    95 KB · Views: 4
  • Screenshot_20200426-213351.png
    70.1 KB · Views: 4
Wakuu Samahani Ni ivi wapi nitapata fundi simu mzuri ambaye atanifundisha kutengeneza simu

NB.nitamlipa sio bure wakuu Naomba Msaada wenu kama kuna fundi mzuri anapokea Wanafunzi basi Mumpe namba Yangu Au nipate mawasiliano nae 0629125217


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna third part nilielekezwa kuinstall inaitwa Chatpatner
jaribu hiyo
 
Ha ha ha sasa mkuu wanunulie watoto toy bana sasa ona wameharibu box la simu wkt imetumika siku 1 tu
Sema umenichekesha sana ulivyojihami mkuu
Eti watoto wanaendesha km gari dah una mbinu kari ya biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Hao watoto ni shida hizi shule zifunguliwe tu wapo wawil ila km wapo timu nzima hizo toys zinapondwapondwa fasta [emoji23]juzi wameipiga bastora TV zile bastora Za maji TV ipo Kwa fundi now ni balaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…