Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Si kweli mkuu. Ni used hizo, nyingine zimefanyiwa refurbished, tena wamebadili battery tu au housing, parts zote ni OG, ingekuwa ni fake watu wangelizwa mno! Maana ndio simu zimejaa madukani huku kwetu, tena wanaweza wakatoa hizo sticker ikawekwa ndani ya box sealed ikauzwa kwa bei ya mpya, ila sina haja ya kudanganya utauziwa kulingana na bei ya condion yake.Kuna jamaa jana alikuja hapa na kutahazarisha watu kuhusu simu zenye stickers from China and Dubai.
Alisema wazi kabisa hizo simu ni feki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa TZ watu wanauziwa hizo kwa bei ya mpya kitu ambacho si sawa!
Sent using Jamii Forums mobile app