Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Kuna jamaa jana alikuja hapa na kutahazarisha watu kuhusu simu zenye stickers from China and Dubai.
Alisema wazi kabisa hizo simu ni feki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli mkuu. Ni used hizo, nyingine zimefanyiwa refurbished, tena wamebadili battery tu au housing, parts zote ni OG, ingekuwa ni fake watu wangelizwa mno! Maana ndio simu zimejaa madukani huku kwetu, tena wanaweza wakatoa hizo sticker ikawekwa ndani ya box sealed ikauzwa kwa bei ya mpya, ila sina haja ya kudanganya utauziwa kulingana na bei ya condion yake.
Hapa TZ watu wanauziwa hizo kwa bei ya mpya kitu ambacho si sawa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,... Wenye uhitaji wa iPhone, Samsung, Huawei, nk.. pamoja na accessories za jumla kutoka China, waje PM au WhatsApp wa.me/255759110633 tuchangamkie simu hizo kalii ni bei nzuri kabisa...View attachment 1430660View attachment 1430661View attachment 1430663View attachment 1430664View attachment 1430665View attachment 1430666

Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1429649
Nakupa ushauri wa Bure tu
Usithubutu kununua Simu hizi
Zenye Sticker za kichina au Majina ya watu
Simu hizi nikutoka China na Dubai

Sent using Jamii Forums mobile app

Naomba tafadhari mtusaidie kufafanua, maana inatuchnganya wateja.
 
Nimeeleza hapa
Si kweli mkuu. Ni used hizo, nyingine zimefanyiwa refurbished, tena wamebadili battery tu au housing, parts zote ni OG, ingekuwa ni fake watu wangelizwa mno! Maana ndio simu zimejaa madukani huku kwetu, tena wanaweza wakatoa hizo sticker ikawekwa ndani ya box sealed ikauzwa kwa bei ya mpya, ila sina haja ya kudanganya utauziwa kulingana na bei ya condion yake.
Hapa TZ watu wanauziwa hizo kwa bei ya mpya kitu ambacho si sawa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba tafadhari mtusaidie kufafanua, maana inatuchnganya wateja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samsung Galaxy S6 Gb32,Ram3gb.imetumika siku moja Aina shida yoyote mtumiaji alitaka double line ameletewa single line now inauzwa box la simu watoto wameendesha kama gari limechanika..bei aipungui 250000/=
Call/whtsapp 0676744827
20200426_175657.jpg
IMG-20200426-WA0021.jpg
20200426_175749.jpg
20200426_172329.jpg
20200426_172336.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samsung Galaxy S6 Gb32,Ram3gb.imetumika siku moja Aina shida yoyote mtumiaji alitaka double line ameletewa single line now inauzwa box la simu watoto wameendesha kama gari limechanika..bei aipungui 250000/=
Call/whtsapp 0676744827View attachment 1431301View attachment 1431303View attachment 1431302View attachment 1431305View attachment 1431304

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha sasa mkuu wanunulie watoto toy bana sasa ona wameharibu box la simu wkt imetumika siku 1 tu
Sema umenichekesha sana ulivyojihami mkuu
Eti watoto wanaendesha km gari dah una mbinu kari ya biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tecno spark 4 Bado ni mpya nimeitumia kidogo nahitaji 190,000/= nipo dsm
 
Attachments

  • 20200426_202451.jpg
    20200426_202451.jpg
    95.2 KB · Views: 5
  • 20200426_202409.jpg
    20200426_202409.jpg
    91.1 KB · Views: 5
  • 20200426_202417.jpg
    20200426_202417.jpg
    84.1 KB · Views: 5
  • 20200426_202517.jpg
    20200426_202517.jpg
    102.7 KB · Views: 5
  • 20200426_202423.jpg
    20200426_202423.jpg
    104.8 KB · Views: 4
  • 20200426_202430.jpg
    20200426_202430.jpg
    111.5 KB · Views: 4
  • 20200426_202350.jpg
    20200426_202350.jpg
    101.6 KB · Views: 4
  • 20200426_202331.jpg
    20200426_202331.jpg
    95 KB · Views: 4
  • Screenshot_20200426-213351.png
    Screenshot_20200426-213351.png
    70.1 KB · Views: 4
Wakuu Samahani Ni ivi wapi nitapata fundi simu mzuri ambaye atanifundisha kutengeneza simu

NB.nitamlipa sio bure wakuu Naomba Msaada wenu kama kuna fundi mzuri anapokea Wanafunzi basi Mumpe namba Yangu Au nipate mawasiliano nae 0629125217

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapendwa anaeweza kuifanya simu yangu iweze kutumia google play store anisaidie, ni Huawei Y max toleo la december 2019, ram 4GB, internal storage 128GB, nipo dar naweza lipia mpaka tsh.30000/= kwa atakae nifanyia installation. Note; nimeenda kariakoo wameshindwa.
kuna third part nilielekezwa kuinstall inaitwa Chatpatner
jaribu hiyo
 
Ha ha ha sasa mkuu wanunulie watoto toy bana sasa ona wameharibu box la simu wkt imetumika siku 1 tu
Sema umenichekesha sana ulivyojihami mkuu
Eti watoto wanaendesha km gari dah una mbinu kari ya biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Hao watoto ni shida hizi shule zifunguliwe tu wapo wawil ila km wapo timu nzima hizo toys zinapondwapondwa fasta [emoji23]juzi wameipiga bastora TV zile bastora Za maji TV ipo Kwa fundi now ni balaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom