Wauza smartphone tukutane hapa

Masaa yetu ya kazi
Jumatatu ➡️ Jumamosi
2:00 asubuhi - 3:00 usiku

Jumapili
3:00 asubuhi - 11:00 jioni

🙏 Karibuni sana



📍Dar es Salaam
 
Ushauri kati ya 20+ ultra , note 20 ultra, na bei zake zikoje mkuu
 
iPhone 11 plain
Ya kishua👌
✍️: Ya kung'olea pisi grade "B" (Mabaharia)
:Ya kung'olea vibenten jobless(sugar mamas)
_______________________
ROM: gb64
RAM: gb4
Status: Used
Battery health: 97%
Face id: ❌
Condition: Excellent

😋😋 Tsh.695,000
Call/WhatsApp/SMS: +2556 8760 0847



📍Dar es Salaam
 
SONY XPERIA 8..

64GB STORAGE.. 4GB RAM..

USED FROM DUBAI [emoji1256][emoji1256]

PRICE [emoji117] TZS 300,000/=

DUKA LIPO KARIAKOO..

CALL [emoji117] 0765 683 574
 
IPhone 8 plain
Gb 64
Funger print safi
Haina shida yoyote
Piga 0693300971



 
oppo r7 plus
64GB rom
4GB ram
615 snapdragon
6.6inches display
ina cleki kidogo kwenye display lakin inaperform vizuri,niko dar es salaam nahitaji 150K napatikana kwa namba +255748106950
 
GOOGLE PIXEL 3A..

64GB STORAGE.. 4GB RAM..

USED DUBAI [emoji1256][emoji1256]

PRICE TZS 280,000/=

DUKA LIPO KARIAKOO..

CALL [emoji1314] 0765 683 574
 
Nenda shule kijana acha utoro
nishazeeka boss, na sikubahatika kusoma.

Ujue nini boss, kuna jamaa nilimwonesha huu uzi. Akajichanganya akaaguza simu na ikamfikia kweli.

Lahaullah lakwata, siyo kwa pigo alilolipata. Akichaji simu ikajaa, akimpigia mtu, hata dakika haiishi simu inazima. Akiwasha iko full charge.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na ni aina hiyohiyo.
 
Duh Kuna mtu anatafutiwa mpigo sasa
 
Mkuu siku hizi mambo ya betri siyo issue tena unaenda unanunua betry kama ni ya hiyo ni sh 100000 mpya unabdilishiwa tu
 

Iphone 7 Plus
Gb 128
Battery 100
Fingerprint [emoji736]
280,000/=
Simu Used but Clean Sana [emoji91]
 
Sija elewa lengo lako mkuu.out of all comments umeni shukia tangazo langu una tatizo na mimi labda ??
Hapana, basi tu nilianzia hapo. Na kwa majibu ya niende shule, yakanifanya niandike kitu.

Kuambiwa niende shule manake mimi hamnazo na kwamba sifahamu mitu kuhusu hii biashara. Si kweli, nina abc kuhusu hizo simu.

Tusikimbilie kujaji anaye comment negatively kwenye uzi wako hakwenda shule.

Halafu niko fresh sina hasira wala stress.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…