Kariakoo Modern Store
Member
- Jan 30, 2023
- 72
- 30
Nime ku-PM bossHapo bajeti sitoboi boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nime ku-PM bossHapo bajeti sitoboi boss
View attachment 2511990
View attachment 2511991
Iphone 7+ Used-But Clean
128 GB
Battery 100
Fingerprint ipo[emoji736]
280,000/= Only
Boss S 10 5gFull box zitakufaa?
Ushauri kati ya 20+ ultra , note 20 ultra, na bei zake zikoje mkuuHii ni Proof ya kua Simu nyingi zinazokuja futuhi ni mtumba na Refurb kutoka nje,
Note 10+ za laini mbili zipo na ni zinatengenezwa kwa Global(international)Market, kwahio ndio maalum kabisa kwetu sisi, lakini hatuzipati, kwa nini???
Iko hivi
laini moja ni za US, Europe, Canada, China Brazil na korea huko, Na nyingi zinakua Carrier Unlocked, kasoro za ulaya(zenye model inayoishia na ....F)
Kwahio hizi za laini moja unazoziona nying wanatumia wazungu huko, wakizichoka wanazitoa lock then wanatuuzia kama mtumba, Au
Zikiwaharibikia/Chakaa wanazipeleka viwandani zinaboreshwa zinakuja tena kama Refurbished(ndio zile nyingi unanunua zina vi stika).
Zile Global za laini mbili(....F/DS, ukiona Samsung yyt model namba yake mwisho ipo hivyo jua ni Global/international Model) hazitumiki huko kabisa au hutumika uchache kwa baadhi ya nchi, hivyo hizo chache ndio zinakuja au basi uende dukani uinunue kama mpyaa, kitu ambacho hatuwezi, Au Usubiri baada ya Mda flani Zitashuka bei zaidi ndio utaziona..
Asaiv ukiangali Samsung S6 Edge+, simu ya Mwaka 2015 zipo nyingi sana za laini mbili, kitu ambacho ulikua unatafuta hupati, Sababu ni nini? Zilikaa sana kwenye ma retail wakazishusha bei wakatumia kidg ndio zikaja futuhi..
USHAURI, kama Unataka Note 10+ ya laini mbili, Cha Kwanza achana kbsa na za 5G(hakuna za Laini 2 KABISA, japo ndio nyingi) Unajua kwa nini? Wakati zinatoka Afrika hakukua na nchi yenye 5G hivyo hakukua na haja ya kutengeneza za afrika, kwahio zikaishia nje, Kwahio Cheza na za 4G, sema inshu ni kwamba tunarudi pale pale hizo zao za 5G ndio zimejaa.
Nime ku-PM bossBoss S 10 5g
Unauza simu au mfano wa simu.I phone 7 plus
Gb 128 clean
Bh 200%
Price 320k maongezi yapo
Location USA river arusha
Contact 0768682927 View attachment 2520094View attachment 2520095View attachment 2520096View attachment 2520097View attachment 2520098
Note 20 ultra iko poa zaidi.Ushauri kati ya 20+ ultra , note 20 ultra, na bei zake zikoje mkuu
nishazeeka boss, na sikubahatika kusoma.Nenda shule kijana acha utoro
Duh Kuna mtu anatafutiwa mpigo sasanishazeeka boss, na sikubahatika kusoma.
Ujue nini boss, kuna jamaa nilimwonesha huu uzi. Akajichanganya akaaguza simu na ikamfikia kweli.
Lahaullah lakwata, siyo kwa pigo alilolipata. Akichaji simu ikajaa, akimpigia mtu, hata dakika haiishi simu inazima. Akiwasha iko full charge.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na ni aina hiyohiyo.
Mkuu siku hizi mambo ya betri siyo issue tena unaenda unanunua betry kama ni ya hiyo ni sh 100000 mpya unabdilishiwa tunishazeeka boss, na sikubahatika kusoma.
Ujue nini boss, kuna jamaa nilimwonesha huu uzi. Akajichanganya akaaguza simu na ikamfikia kweli.
Lahaullah lakwata, siyo kwa pigo alilolipata. Akichaji simu ikajaa, akimpigia mtu, hata dakika haiishi simu inazima. Akiwasha iko full charge.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na ni aina hiyohiyo.
Hilo nalo neno, asante kwa maarifa.Mkuu siku hizi mambo ya betri siyo issue tena unaenda unanunua betry kama ni ya hiyo ni sh 100000 mpya unabdilishiwa tu
Hapana, basi tu nilianzia hapo. Na kwa majibu ya niende shule, yakanifanya niandike kitu.Sija elewa lengo lako mkuu.out of all comments umeni shukia tangazo langu una tatizo na mimi labda ??