Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

nahitaji tecno C5 npo arusha mwenye nayo anijuze via 0713558111
 
Haya sasa chombo hiyo hapo kama unavyoiona GALAXY NOTE 4 iko na hali nzuri sana,ukiihitaji call me 0715242454,0767242454

Hilo neno la android hapo chini lipo katika simu za kisasa zote, iwe orijino ama mchina, chunguzeni vizuri kwenye simu zote mpya za mwaka huu :/
 
Hilo neno la android hapo chini lipo katika simu za kisasa zote, iwe orijino ama mchina, chunguzeni vizuri kwenye simu zote mpya za mwaka huu :/

Ndo maana nikamwambia hajui simu aache kujishaua na uongo wao wa kitaani
 
Kimeo iko mkuu,usiingie chaka,hilo neno android liogope kama ukoma ukitaka simu orijino,

Kama hujui simu ni bora ukaushe tu hayo maneno yenu ya mtaani hayawasaidiii kitu,au hata hujui Android ni nn kwenye simu
 
Kuna grup la wasap limeanzishwa linaitwa Sell And Buy Smartphone Here...nitumie namba ako nkuadd 0789594009
 
Kama hujui simu ni bora ukaushe tu hayo maneno yenu ya mtaani hayawasaidiii kitu,au hata hujui Android ni nn kwenye simu

Hahaha unachekesha sanaaa mkuu usidhani wote washamba.hivi kuna mtu hajui maana ya android??? Mimi nimetumia samsung s6 s4 s3 na sijaona boot animation yake ukiwasha inaandika android labda huko kwa note zenu.
 
Hilo neno la android hapo chini lipo katika simu za kisasa zote, iwe orijino ama mchina, chunguzeni vizuri kwenye simu zote mpya za mwaka huu :/

S6 + imetoka mwaka gani vilee?? Samsung galaxy s4 je nayo ni ya kizamani?? Japo unaweza kuwa sahihi . ngoja nipige pic s6 ya jirani then uone kama inaandika android kwenye boot animation yake.
 
Nauza blackberry z10, bei ni 300,000.imetumika miez 3
 
Barack Obama hakutoa taarifa nzuri baada ya ziara yake Kenya. vilevile Obama na Balozi wa Kenya Marekani wamekuwa wakijibishana katika magazeti ya Marekani. Hiyo imeleta picha mbaya kwa serikali ya Kenya.

Kuna habari za kusikitisha sana za jinsi Museveni na serikali yake walivyowaswaga na kuwaweka katika makambi wananchi wa Uganda kaskazini. wachunguzi wa mambo wanadai kuna ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, ikiwemo mauaji na mateso, yaliyofanywa na Museveni dhidi ya wananchi wa Uganda kaskazini.

Uganda inatisha, mikono ya Museveni imetapakaa damu. Kitu cha ajabu ni kwamba nchi za magharibi zimemkumbatia huyu bwana, na Tanzania tunamuita ndugu yetu.

Add me in 0714547830
 
Nauza huawei y530 bado iko kwenye hali nzuri imetumika miezi minne tu. Bei 120000 simu 0757321084.
 
Baadhi ya watu humu mnaomba muwekwe kwa group la whatsapp la kuuza na kununua simu, mnawekwa hapo hapo mnaomba mtolewe, ndio nini sasa :A S angry:
 
Back
Top Bottom