Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Jamani kuna simu inauzwa na sister wangu anaumwa Tecno boom J7 bei yake ni laki moja na sabini(170000) ipo katika hali nzuri ina miezi mitatu toka itoke duka na kava sake zote mbili wasiliana na mimi kwa 0655918616
 

Attachments

  • 1454596839711.jpg
    1454596839711.jpg
    26.7 KB · Views: 47
  • 1454596907031.jpg
    1454596907031.jpg
    17.9 KB · Views: 53
Nina tecno Y6 Mpya Kabsa, Huawei 530 Huawei Ascend 600 bei powa call me 0714702720
 
Natafuta tablet samsung Galaxy note 10.1 n8000 ,mpya 600k,used 450 mwenye nayo.
Samsung galaxy note 10.1 (gt-n8000) ikiwa mpya ni ngumu kupata kwa 600k mkuu, labda iwe feki. Nliyonayo mimi hapa ni used, ina internal memory ya 32GB. Bei ya mwisho kabisa naiuza kwa 500k (fixed). Namba 0713 925908

Status: SOLD
 
Nauza tablet aina ya samsung galaxy note 10.1 GT N8000, 32GB kwa 500k pekee. Bei ni fixed. 0713 925908 ndo namba zangu
 
Huawei p8 lite iko sokoni imetumika mwezi 1 tu, ntafute 0653-284-788
 
Tecno c5 common naiuza inasikusaba
Inataka Tsh=240000.. Nimpyaaa.

Nipo mwanza
Nicheki0765919620 what'sapp or sms or call
Nimepata matatizo ya kifedha.
 
Back
Top Bottom