Erickjr
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 994
- 787
Katafute WiFi Ujaribu Kuiupdate...Ikigoma Niuzie Nimpe Mdogo Wangu.sawa mkuu nimekuelewa ila tatizo hata ukiweka sim card haisomi kwa hiyo haina mawasiliano ya internet wala kupiga/kutuma ujumbe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katafute WiFi Ujaribu Kuiupdate...Ikigoma Niuzie Nimpe Mdogo Wangu.sawa mkuu nimekuelewa ila tatizo hata ukiweka sim card haisomi kwa hiyo haina mawasiliano ya internet wala kupiga/kutuma ujumbe.
Jaribu na jukwaa la Tech, gadget & science forum utapata msaada zaidiahsante wakuu ngoja nijaribu option hii ya kufanya update kwa Wi-Fi then nitarudi na mrejesho.
ahsante nashukuru kwa ushauri.Jaribu na jukwaa la Tech, gadget & science forum utapata msaada zaidi
Unaptikana Wap?nauza Microsoft Lumia 535 kwa 285,000 tuu ni mpya zipo nne toka dubai full box.
nichek kama wahitaji
Unapatikana WAP? Mbona Bei Zako Zinabadilika Badilika?ipo Lumia 535 double line. camera 5mp mbele na nyuma na ni mpya full box 290,000 tuu
mkuu mbona haupatikani??Haitofaa kwa hiyo bei simu ni mpya
mkuu ni ww tuu mashine bado ninayo zipo mbili hapa lumia. 535dual simUnaptikana Wap?
Nakiri kuteleza ulimi,nlikuwa namaanisha usinunue huku maana huwezi pewa efd receipt,Ni wizi ,Pili unaweza kuta iliibwa pahala sasa ukakutwa na kosa hapa mahakamani tunaita "recent possession"Sio kweli kweli jaji mfawidhi. TCRA wana vigezo vyao vya kufungia cm. Na pia kujua kama itafungiwa kabla hujatoa mpunga c unaweza test.
ACHA KUPOTOSHA WATU
Nimekupm Aueleweki!!!mkuu ni ww tuu mashine bado ninayo zipo mbili hapa lumia. 535dual sim
Napatikana labda nitakua niliwasha 4g only ndio maan ila nitextmkuu mbona haupatikani??