Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

samahani wakuu nina samsung s4 mini imeanza tatizo la kukata network na inaleta ujumbe nitaweka attachment hapa chini kila inapowashwa.

ninaomba msaada wa kujua nini cha kufanya ili niwe hewani tena.
Jaribu kurestore mkuu

Izime simu alafu bonyeza volume up,power button na home button kwa wakati mmoja kwa muda mpaka ikuletee recovery then chagua sehemu ambapo pameandikwa wipe data/factory reset (tumia volume up and down kuchagua)....alafu bonyeza power button ku restore


down
uploadfromtaptalk1459779184115.jpg
 
Xiaomi m4i inauzwa
Screen 5.0"
Camera 13mp 1080p
Secondary camera 5mp
2GB ram
Snapdragon 615 octacore
3120 mAh battery
Dual sim

400k
uploadfromtaptalk1459782955601.jpg
 
nauza tablet DELL VENUE , mpya kabisa na box lake , bei 150k , kwa maelezo mengine ni PM tafadhali
 
Back
Top Bottom