binjo
JF-Expert Member
- Feb 22, 2016
- 2,115
- 1,247
Wakuu habari zenu:Naombeni msaada nina simu LG P769 20h ina tatizo la kustack muda mwingine kila nikifungua APP yoyote ile inaniambia "is'nt responding" either niwait au nicancel au ni OK hii ni kila siku alafu ktk setting sehemu ya ABOUT kuna kialama kama hiki. '!' Lakin kimeangalia juu kama ' i. Ni nin tatizo wakuu.