Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Wakuu habari zenu:Naombeni msaada nina simu LG P769 20h ina tatizo la kustack muda mwingine kila nikifungua APP yoyote ile inaniambia "is'nt responding" either niwait au nicancel au ni OK hii ni kila siku alafu ktk setting sehemu ya ABOUT kuna kialama kama hiki. '!' Lakin kimeangalia juu kama ' i. Ni nin tatizo wakuu.
 
Pata simu kwa bei poa kabisa

Samsung Galaxy
S3-350k
S4-395k
S5-496k
S6-1.24m
S6 edge - 1.55m
S6 edge plus - 1.78m

Samsung Galaxy
Note 1-292k
Note 2-393k
Note 3-532k
Note 4-750k
Note 5-1.2m

Sony Ericsson
Z3-650k
Z2-560k
Z1-450k

Pia Samsung tab 2,3,4 zipo bei ni pouwa. Pamoja na simu aina zote, PLAYSTATION 2,3,4, LAPTOP, DESKTOP, HOME THEATER, SMART TV, CAMERA aina zote, nk kwa mawasiliano zaidi piga simu namba +255652971495-Whatsapp au 0625696103
e471a73b8161e370475f2e3f44f0e878.jpg
 
S6 edge - 1.55m
S6 edge plus - 1.78m
Kwa hii bei unapata S7 na S7edge mpya kabisa dukani pamoja na warranty ya miaka 2.. Na ukienda vodacom wanakupa Gb10 bure pamoja na vyote hivyo.
 
Nauza tecno y3 ipo katika hali nzuri nipo dar kwa atakaekuwa interested 0657444196.bei 100,000 cash
 
Nauzwa blackberry Z10 16GB kama ilivyotajwa hapo huu.... bei ni tsh. 200000/= fixed haipungui.....
internal ni 16GB
RAM ni 2GB
camera ni 8MP kwa 2MP n Video size kwa rear camera ni 1080pixels
processor ni 1.5 GHz dual core
screen resolution ni 4.2 cm
ina 4G LTE
NA PIA INASUPPORT APPS ZA ANDROID
ina perform fresh.... kama upo interested waweza nicheck kwa 0713672532
d891912e8fad5e28338c2b3346db8a06.jpg
56198e837fc02869e6df5a926d9ac46f.jpg
de65b45ac1e76602228441725f401bd5.jpg
82697666ed8f708d0e753a59e6108312.jpg
 
Wakuu

Nina Samsung galaxy note 4 for sale,,

ipo kwenye mint condition used kwa miezi miwili tu,,,very clean
ImageUploadedByJamiiForums1461435713.962845.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1461435740.161407.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1461435766.196434.jpg


Bei 750k

Kabla hatujafanya biashara unaverify kwa kutumia code za TCRA ili kujiridhisha kuwa ni original,

ts genuine one

Contacts 0785706115
 
Nahitaj smatphon, Samsung/tecno, Nina 250k nipo Mwanza.
Leo leo hata asubuhi hii tunafanya biashara.
ONYO KALI.
Ivuke2 mwez wa6
0758456795 Nichek Watsp
 
Note 4 kwa 500k...inahitajika haraka kama unayo na isiwe imetumika zaid ya miezi 6 njoo tufanye biashara
 
Back
Top Bottom