Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Ukiona mtu analeta ubaguzi wa haina yeyote. ujue amefirisika kimawazo - Nyerere
 
ANATIC HERBAL ESSENCE SOAP ni sabuni kutoka kampun kabambe iliyothibitishwa kimataifa je una matatizo ya ngozi,mba kwenye nywele,fangasi,ukinyoa unatoka vipele sabuni hii ni kiboko kabisa.
Imetengenezwa kwa kutumia Honey, green tea, Grapefrute, olive oil na palm oil ni nzuri kwa watoto wadogo pia
Kama unaijali na kuipenda ngozi yako tumia anatic soap ni shilingi 10,000 tu.
Text/piga 0715 476787
Hii ni cm gani?
 
Aloo, uwe unasoma kwanza ni choo gani pale nje ya mlango kabla hujaingia ndani ndugu.

Ni muhimu sana.
 
natafuta iphone 5 au 5s mwenye nayo tufanyaje biashara
e5865b1a8b3a539052f07eb7c51dbc10.jpg

natafuta iphone 5 au 5s mwenye nayo tufanyaje biashara
 
Nina 200k
Nijuze una simu ya aina gani.
Uniuzie.
nipo Dar
 
Ipad 4 for sale
450k
16gb
Sim + wifi
Contact 0719094595
Location dar
1477762641082.jpg
1477762646654.jpg
 
Tecno c9, imetumika miezi 2 tu. Iko kwenye hali nzuri, Niko arusha, bei 280,000
 
Back
Top Bottom