Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Samsung galaxy note 4
32gb
450k
Contact 0719094595
Location dar
4672360aa08178888867a907c9837d5a.jpg
b4412993624e30f0ce7f675862f3d235.jpg

Huu mzigo bado upo?
 
Nauza Simu ya Tecno L 8 Bei Ni 190,000/= tu.
Ina wiki moja tangu itolewe katika boxi lake... Alie Tayari anicheki PM
 
Nauza Simu ya Tecno L 8 Bei Ni 190,000/= tu. Ina wiki moja tangu itolewe katika boxi lake... Alie Tayari anicheki PM

Ipo katika Hali ya upya kabisa...
 
Nauza Samusung galaxy J1 ipo kwenye hali nzuri kabisa.Bei Tshs 150,000/= mwenye ku afford ani-pm tafadhali nikafanye usajili chuo maana mkopo nimeisoma namba.Naipenda simu yangu ila sina namna.
 
Kuna Samsung Note 1 naiuza nahitaji Tsh. 350,000...Call: 0655659115...whatsapp: 0624132227
 
Back
Top Bottom