Jeitakuajejaji
Senior Member
- Mar 18, 2010
- 175
- 394
530000tsh brand newNahitaji A5 mbili. Nyeusi na nyeupe. Mwenye nazo anichek 0766501816
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
530000tsh brand newNahitaji A5 mbili. Nyeusi na nyeupe. Mwenye nazo anichek 0766501816
Bado sana hapo mzee...[emoji28]Laki na nusu nikupe
Samsung J2Wakuu nina 300 unanipa simu gani
0715531232Nahitaji samsung J2 nipo dar
0756949320
Mkuu jmos ka itakuwa bado ipo nikupe 400,000/=Kama uko tyari 300k tufanye biashara mkuu
Depreciation cost Tayari nmeshaitoa mkuu, maana imetumiwa siku sita , imenunuliwa 215000/= Baada ya kutoa thamani ya uchakavu Bei elekezi ndio Hiyo mkuu, labda utoe 188,000/=
Pia Niambie upo mkoa gani?
A3 2016 609000Tsh mpya na warrant... 0715531232Nahitaji samsung A3 ya 2016
J1 Ace ...mpya na warrant call 0715531232Nina 200K Nahitaji Simu Nzuri Ya Sumsung
Mpya na warrant 530000tshMi nataka Galaxy A5 mwenye nayo anicheki
J2 3G 300000tshNahitaji used sumsung toleo la J ,
Kuanzia j 2 na kuendelea.
Mwenye nayo nicheki 0784356521.
mpe tu maan juz kuna dem kauza 90 hazina deal....android version yake ni ipiBado sana hapo mzee...[emoji28]
Bado unayo hyo cmNani ana J8 kwa 150k aniuzie? Niko mwanza.
Nna j8 250 naiacha nyeusi nna week mbili nlimnulia mke wangu ameikataa kama yuko poa aje tumalize dealBado unayo hyo cm
Ipo hapa leta 250 nikupe mzigo una two weeks nilimnulia mke wangu ameikataaNani ana J8 kwa 150k aniuzie? Niko mwanza.
0786732960 cheki hapo wassup tu seal dealUmenitamanisha. Ingekua nyeupe ningefanya biashara
Huawei y530 inauzwa tshs120, 000/=ni nzima haina tatizo lolote.Wekeni na simu za bei ya watoto wa wakulima, mbona mko biased ivo!!!
Nina Sony Xperia z nauza laki 2Nani Ana Sony Xperia?