Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Nauza LG G5 used but in good condition.
RAM 4 GB
Internal 32 GB
Front camera 16 MP
Fingerprint scanner
Android 6
Bei 600.000.
Nipo Mbeya.
 
Nina Samsung Galaxy S5 nauza 250.Ina
Fingerprint
16gb
Ram 3gb
Made in Vietnam
Iko kwenye hali nzuri
ama kubadilishana na Samsung Galaxy Note 2
20170512_152735.jpg
 
Nina Huawei Ascend G610 nilinunua Tsh. 370000... Nauza Tsh. 180000 ni used. Ukitaka nitafute 0627403944 pia ukitaka na simu mpya bei chini ya bei za madukani kama tecno CamonCX pata kwa Tsh. 385000 na tecno zingine, J7 prime kwa 620000 zinauzwa 650000-700000 madukani.. Na simu nyingine... Nitafute kwa hiyo namba
 
Wakuu nahitaji smart phone used au mpya bajeti yangu 50000
 
Nauza Samsung Galaxy Note 2.Bei 250.Ina 4g.
Kama uko interested njoo pm.
Niko Dar.
 
Iphone 7 mpya kabisa(Genuine),Colour-Silver,32Gb.Mwenye kuhitaji tu nicheki nikupe bei safi,ikisepa basi.0675660471.
IMG_1148.JPG
 
Back
Top Bottom