Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
OK thanksDemo inakuwa haina operation za network na hata simard haisomi maana kuna chip ambazo zinakuwa zinamiss kabsa zenye kuiwezesha kuaccess hvo vtu. Na circuit ambayo ni usumbufu tu kwa ujumla maana kuna vtu vngne havisupport wala havpo kabsa ktk system yake. Ila kama hyo demo anataka jamaa ina maana anataka kioo kwa 200k =never
Sent using Jamii Forums mobile app