Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Usikatae jamaa kasema ukweli.
Binafsi pia nilitegemea muwe na bei reasonable lakini cha ajabu bei zenu kubwa kuliko hata hapa nyumbani..sasa kuna haja gani kufanya biashara na nyinyi !?
Ukicompare bei zetu na kkoo jaribu kucompare ubora wa bidhaa pia ukilijua hilo unafanya maamuzi binafsi. And we are not a local retailer everything is shipped from Moscow, Russia na hatuna kitu chenye guarantee chini ya mwaka mmoja hata kama ni headphone. Don't expect that at kariakoo price.
 
Ntakupa mfano kutokea hapo hapo kwenye web yenu.
External hard drive ya laptop ya ukubwa wa 1TB mnauza 195,000
Wakati mimi napata Kwa 110,000
Ikiwa ni same brand, quality na manufacturer ni yule yule yule...
Swali ni "Kwa nini tutunue kwenu...!?"
 
I ain't comparing to kariakoo dude,
Am talking in in general terms,experience and expertise...
Sasa sijui utaniambia nini kigeni...
Kweli External HDD ya kampuni ya Westgate 1TB Kwa 195k?
Stop fooling around with us.
 
nilinunua hdd 2t.mpya posta 180000
 
And probably you guys are shipping from the wrong place to the wrong place.
 
Ntakupa mfano kutokea hapo hapo kwenye web yenu.
External hard drive ya laptop ya ukubwa wa 1TB mnauza 195,000
Wakati mimi napata Kwa 110,000
Ikiwa ni same brand, quality na manufacturer ni yule yule yule...
Swali ni "Kwa nini tutunue kwenu...!?"
Haipo hivo brother. Electronics sio kama nguo. Tz borders zetu zinavuja kwa waliokaa abroad watakuambia kuna utofauti mkubwa kuubora kati ya bidhaa zetu za electronics na zinazotumika nchi zilizoendelea hata kama ni same brandy. Utambulisho wetu sokoni ni UBORA ndio kitu tunachokizingatia zaidi na hii itazoeleka muda sio mrefu
 
nilinunua hdd 2t.mpya posta 180000
Nilinunu Transcend mpya.
Nikisema mpya nakusudia genuine,full boxed aka untouched Kwa 220k
Na Kwa hasira nikachukua mbili kabisa maana nimezoea zinauzwa kwa 250+k
Sasa transcend utaringanisha na wastage..
Eti 1TB Kwa 195k
 
I ain't comparing to kariakoo dude,
Am talking in in general terms,experience and expertise...
Sasa sijui utaniambia nini kigeni...
Kweli External HDD ya kampuni ya Westgate 1TB Kwa 195k?
Stop fooling around with us.
Tungeweza kuweka bidhaa za kkoo tukakuuzia kwa bei ya machinga ila hio sio mission yetu brother. Samahani kwa usumbufu
 
Haipo hivo brother. Electronics sio kama nguo. Tz borders zetu zinavuja kwa waliokaa abroad watakuambia kuna utofauti mkubwa kuubora kati ya bidhaa zetu za electronics na zinazotumika nchi zilizoendelea hata kama ni same brandy. Utambulisho wetu sokoni ni UBORA ndio kitu tunachokizingatia zaidi na hii itazoeleka muda sio mrefu
Ubora wa vitu vyenu na hivi navyozungumzia hapa...upo Sawa Sawa kabisa...
Kwann vyenu viwe na bei kubwa..!?
 
We don't sell any fake product. And we will stick to that for the sake of our brandy. Hamna genuine cable ya buku 3 hata hiyo kkoo

Fanyia kazi hilo mkuu sio kila kinachouzwa k/koo ni fake ila kama ukitaka fake vipo,na si kila kinachouzwa abroad ni original mfano bei ya iphone 8 wewe upo abroad kama unauza around 2m basi unataka niambia k/koo ziwe around m3 ambapo iphone x sijui utauza mpaka m4 kisa original si kweli hapo,ila hizi ni customers request kama kweli wewe ni mfanya biashara mwenye future ya kufika level fulani jipime kwa haya ila kama upo kwa maslahi zaidi utaona kama ni fitina hivi.kila la kheri mkuu
 
Tungeweza kuweka bidhaa za kkoo tukakuuzia kwa bei ya machinga ila hio sio mission yetu brother. Samahani kwa usumbufu
Jibu hoja plz..kama hutojali..
Na Kwa taarifa yako sinunui vitu vyangu vya maana k/koo maana sipajui pia.
Naangalia ubora,brand kisha bei...
Sasa ktk bidhaa zenu sijaona kipya zaidi ya bei ya ajabu...
 
Jibu hoja plz..kama hutojali..
Na Kwa taarifa yako sinunui vitu vyangu vya maana k/koo maana sipajui pia.
Naangalia ubora,brand kisha bei...
Sasa ktk bidhaa zenu sijaona kipya zaidi ya bei ya ajabu
Naomba majibu hapa..

Naomba majibu hapa..
Karibu ujaribu bidhaa zetu ubora ndio utakufanya ununue kutoka kwetu bidhaa zako zote za electronics zijazo. Please try to read on our "About us" page kwenye website. Asante
 
Fanyia kazi hilo mkuu sio kila kinachouzwa k/koo ni fake ila kama ukitaka fake vipo,na si kila kinachouzwa abroad ni original mfano bei ya iphone 8 wewe upo abroad kama unauza around 2m basi unataka niambia k/koo ziwe around m3 ambapo iphone x sijui utauza mpaka m4 kisa original si kweli hapo,ila hizi ni customers request kama kweli wewe ni mfanya biashara mwenye future ya kufika level fulani jipime kwa haya ila kama upo kwa maslahi zaidi utaona kama ni fitina hivi.kila la kheri mkuu
Akawatafute washamba au matajiri...lkn Kwa sisi born town na tuliosomea haya makitu....hahahahahaha atasubiri sana..
Kwanza sio mfanyabiashara huyu...maana hana customer care..hajibu hoja zaidi ya kubwabwaja yasomana.
Sisi wateja tunamwambia yeye yupo bize kutudharau...au anafikiri kila mtu hajui.
Na anataka kutuaminisha huko kariakoo hakuna kitu original.
Siku hizi hata wasiojua wanaponunua vitu wanaambiwa tu, hii original kiasi fulani na fake kiasi fulani...wanachagua wao.
 
Naomba majibu hapa..

Check hii
Screenshot_20171210-114003.png
 
Akawatafute washamba au matajiri...lkn Kwa sisi born town na tuliosomea haya makitu....hahahahahaha atasubiri sana..
Kwanza sio mfanyabiashara huyu...maana hana customer care..hajibu hoja zaidi ya kubwabwaja yasomana.
Sisi wateja tunamwambia yeye yupo bize kutudharau...au anafikiri kila mtu hajui.
Na anataka kutuaminisha huko kariakoo hakuna kitu original.
Siku hizi hata wasiojua wanaponunua vitu wanaambiwa tu, hii original kiasi fulani na fake kiasi fulani...wanachagua wao.
Asante kwa maoni yako. Tutayafanyika kazi
 
Back
Top Bottom