idriss
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 720
- 365
Mpya mkuu,Una patinakana wapi of icin pako, ni mpya au used
Tupo Ilala Bungoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpya mkuu,Una patinakana wapi of icin pako, ni mpya au used
Mkuu andika Tecno not techno, lkn hzo simu zinakung'uta photo balaa, kwa wadada ndo mahali pake apoAti Kuna simu Inaitwa Techno CX au Techno CM? naomba kujua Bei yake tafadhali, km unayo tuongee ninunue!
Note:-
Sio kwa ajili ya kutumia mm, ni kwa ajili ya msichana wangu, mm situmiagi brand za kizembe zembe hizo!
Please pm if you have it.
Hizi brand zenu bwana Sina uzoefu nazo, naomba Bei basi Nahitaji kwa ajili ya msichana wanguMkuu andika Tecno not techno, lkn hzo simu zinakung'uta photo balaa, kwa wadada ndo mahali pake apo
Dukani hiyo cx inaenda kwa 350.000Hizi brand zenu bwana Sina uzoefu nazo, naomba Bei basi Nahitaji kwa ajili ya msichana wangu
Ahsante chief, ipi Sasa, CX au CM?Dukani hiyo cx inaenda kwa 350.000
Hiyo simu ni moja inaitwa tecno camon cxAhsante chief, ipi Sasa, CX au CM?
Ahsante chiefHiyo simu ni moja inaitwa tecno camon cx
But ukienda kwa akina tigo shop au voda shop wanakung'uta laki 4[emoji1]Ahsante chief
Najua humu Kuna watu wanazo hata used wanaweza kuniuziaBut ukienda kwa akina tigo shop au voda shop wanakung'uta laki 4[emoji1]
Yeah! Utapata subir waje wadauNajua humu Kuna watu wanazo hata used wanaweza kuniuzia
Yenye ANDROID OS AU IOS OS,Camera,Betri,Rangi,Na GB ngapi hiyo VITZ boss wangu?Mi natafuta VITZ kwa 4.2M au below, lakin iwe ni plate no kuanzia ' C'
Mwenye nayo nahitaji
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Yenye ANDROID OS AU IOS OS,Camera,Betri,Rangi,Na GB ngapi hiyo VITZ yako boss wangu?
Umepotea jukwaaMi natafuta VITZ kwa 4.2M au below, lakin iwe ni plate no kuanzia ' C'
Mwenye nayo nahitaji