Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Mwenye Infinix hot s3 aje Pm na bei pamoja na picha ya simu,
Dsm
 
Iphone 6 16gb
New condition gold color
Finger print [emoji736]
Boxed
Price 550,000 /- tsh
Cont# 0716455575 / 0766711414
IMG_0015.JPG
IMG_0016.JPG
 
Nauza samsung galaxy tab 4. Ina ram 3 Gb. Internal storage 16GB. Ipo katika halinzuri sana . Bei ni 370000 shs . Hii ni original samsung Tab 4.whats app 0689800817. Call 0787119969.Nipo Dar es salaam
 

Attachments

  • IMG-20180514-WA0223.jpg
    IMG-20180514-WA0223.jpg
    33.2 KB · Views: 49
  • IMG-20180514-WA0221.jpg
    IMG-20180514-WA0221.jpg
    22.5 KB · Views: 48
  • IMG-20180514-WA0222.jpg
    IMG-20180514-WA0222.jpg
    34.7 KB · Views: 49
  • IMG-20180514-WA0224.jpg
    IMG-20180514-WA0224.jpg
    29.8 KB · Views: 44
  • IMG-20180514-WA0226.jpg
    IMG-20180514-WA0226.jpg
    43 KB · Views: 46
  • IMG-20180514-WA0225.jpg
    IMG-20180514-WA0225.jpg
    37.6 KB · Views: 51
Nauza samsung galaxy tab 4. Ina ram 3 Gb. Internal storage 16GB. Ipo katika halinzuri sana . Bei ni 370000 shs . Hii ni original samsung Tab 4.whats app 0689800817. Call 0787119969.Nipo Dar es salaam
Unapatikana Dar sehem gani Mkuu. Natamani niione niikague kama tukikubaliana niichukue
 
Na infinix hot5


Naitaji ku Exchange with mwenye samsung yenye wadhifa naongeza na hela kidgo


Location Mwanza.. pia awe wa MWANZA
 
NAUZA TECNO K7

USED KWA 6 Months .

HAINA TATIZO.

CALL 0629 067775

BEI Tshs: 160,000/=

LOCATION: KIJICHI DSM.
 
Habari zenu wakuu, nauza tecno wx3lite ni mpya ina wiki moja tangu nimenunua box lake chaji mpaka risiti vipo aliye tayari anicheki location mwanza
 
natafuta kioo cha samsung galaxy sIII hata kama kimetumika au kina scratches cha muhimu kiwe kinapiga kazi. Pm nitakupa contact
 
Unapatikana Dar sehem gani Mkuu. Natamani niione niikague kama tukikubaliana niichukue[/QUOTE sawa nipo dar maeneo ya Airport ila kazini ni buguruni sheli .nipigie kwa namba 0787119969 au nichek whats app 0689800817
 
Kuna Tecno c9 iko na box lake imetumika kiasi na IPO kwenye hali mzuri kabisa .
Bei; 250k maelewano yapo kidogo.
Mawasiliano ,0716416599.
 
Kuna Tecno c9 iko na box lake imetumika kiasi na IPO kwenye hali mzuri kabisa .
Bei; 250k maelewano yapo kidogo.
Mawasiliano ,0716416599.
Mkoa mbeya.
 
habari zenu, nina iphone 6s plus 16GB ya kubadilisha kioo, mwenye uhitaji tuongee naiuza bei nzuri, niliinunua dukani kabisa.PM
 
Nauza samsung galaxy note 4. Ipo safi sana. Ram 3GB
Storage 32GB .ina pen yake safi sana .call 0787119969. Whatsapp 0689800817. Nipo dar es salaam .bei ni 320000 . Maongezi kuhusu bei yanakubalika
 
Nauza samsung galaxy note 4 .Ram 3 gb . Internal storage 32 GB . Inakuja na offer ya memory card ya 32 GB . Ipo clean . Nipo dar es salaam
 

Attachments

  • IMG-20180516-WA0004.jpg
    IMG-20180516-WA0004.jpg
    8.9 KB · Views: 85
  • IMG-20180516-WA0003.jpg
    IMG-20180516-WA0003.jpg
    50.8 KB · Views: 77
  • IMG-20180516-WA0002.jpg
    IMG-20180516-WA0002.jpg
    48.2 KB · Views: 56
  • IMG-20180516-WA0001.jpg
    IMG-20180516-WA0001.jpg
    44.5 KB · Views: 57
Kuna mdau anataka kuniuzia new Huawei ascend mate 7 kwa 410, 000 je, ninunue? Wazoefu msaada please!!
 
Back
Top Bottom