Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Nauza Tecno Tablet droipad 8II BEI 250K
Rangi yake, silver

Ram 1GB
Rom 16GB

camera safi,, unaweza piga picha na kusafisha,
Unaweza kutumia kwa kufanya typing kama PC,
Chaji inadumu vizuri.

Location nipo morogoro mjini, njoo wasapu 0718418387
Mkuu weka picha.
 
Kkoo sehemu gani? Weka na picha Mkuu.
asaiv npo tabata mawenz, n73 ndo naitumia hapa siwez piga picha, ila angalia kuna uzi nilituma humu nikaweka na picha, ila kesho naenda mkoani
 
Brandnew iPhone 7 plain
Iphone 7 plain
32gb mattblack
Full boxed kila kitu kipo (with original accessories)
 
teckno k9 plus...195000/=
mzigo safi ram 2gb, internal 16 gb,camera 13 megapixel...0654815422...nipo dar
IMG_20181102_185410.jpeg
IMG_20181102_185342.jpeg
IMG_20181102_185337.jpeg
IMG_20181102_185332.jpeg
 
Nina SAMSUNG GALAXY S6 EDGE imekrek kioo lkn iko poa nahitaji MEIZU nzuri kwa mwenye hiyo tufanye exchange, nipo TUNDUMA
 
techno boom j8 2 gb ram, 16 gb internal, crake zipo kwenye protecta hizo.nipo dar. 0654815422
IMG_20181102_145531.jpeg
IMG_20181102_150155.jpeg
IMG_20181102_150248.jpeg
IMG_20181102_150224.jpeg
 
Back
Top Bottom