Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Samsung j400 securty boxy.bei 350000.cm ni mpya location mbez makonde.ni duals.na zote znasapot 4g.adroid vsn.ni 8.0.0.
Sums.v ni 9.0
 
Picha yake hiyo apo.nicheki kwenye 0768069716
20181211_142808.jpeg
 
Kufanya exchange ruksa.sababu ya kuiuza ni rangi yake sijaipenda ni mpya inakama wiki tangu imetoka ughaibuni.kuiona live ruksa.
 
Kuna samsung J4 (2018) Gb32 ram 2 ina 4G
Nataka pesa ya haraka ina wiki 3 tu bei ni 270k tu kwa anayehitaji njoo pm
 
Mwenye iphone 7 plus icloud (reactivation lock) anipm tufanye bussiness (iwe imenyooka)
Kwa mawasiliano pia ya kawaida 0763976109
 
Samsung tab 3 for sale

Price 200k fixed
Location Mwanza
Text 0674250886 whatsup only

Tab Iko poa iyo ni protecter
tapatalk_1544567993042.jpeg
tapatalk_1544567986464.jpeg
tapatalk_1544567980863.jpeg
 
Nahitaji mwenye simu kati ya hizi nokia e6, blackberry classic kuna laki imenyooka!
 
**INAUZWA**
Sony Experia Z3
Display 5'2 | ram 3gb
Network 4G | Storage 32gb
Camera 20.7mp LED Flash
Ina Grove mode
Battery 3100mAh

Price 220k
images.jpeg
 
Nauza galaxy grand prime plus
Ina 4g
Silver colour
Bei 130000
0743812047
Ipo dsm
IMG_20181211_230504.jpeg
IMG_20181211_230458.jpeg
 
mzee tecno kila saa kuna toleo jipya, wateja wa tecno ndo wanaongoza kwa route pale Aggrey na likoma, Umetoka kununua Tecno K 9, upo kwenye daladala huko kiwandani washatoa K 9 Spark, unatia miguu home washatoa K 9 Spark Plus, huja anza hata kuinstall whatsapp Washatoa K 9 Spark Plus Air, mpk unamaliza kuweka dp/status tayar isiakua old model
Asee mkuu unakunywa kinywaji gani?sikuwa na furaha siku nzima lakin coment yako imenifurahsha sana
 
Aina. Xiaom
Model. Redmi 4x
Screen 5.0
RAM 3GB ROM 32
Battery mah 4100
Network 2G 3G 4G lTE
Fingerprint sensor
Duall app yes
Seconds space. Yes
Infrared port
NOTE. Batan volume up haifanyi Kazi.
Bei 240k.
Location Dar
0657230449. Call msg WhatsApp
Screenshot_2018-12-12-15-26-27-456_com.miui.home.jpeg
Screenshot_2018-12-12-15-26-50-936_com.android.settings.jpeg
Screenshot_2018-12-12-15-27-17-450_com.android.settings.jpeg
 
Nauza IPhone 6 Plain Gold 16GB interested buyer njoo PM ipo katika hali nzuri
 
Back
Top Bottom