makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapatikana wapi mie ninayo ila kioo kina kaufa flani, yenyewe haina tatizo lolote iko poa sanayakwako mkuu tecno spark?? Me nataka spark k7 yenye fingerprint,nahitaji sana
Bonge la point hasa hapo kwenye kuweka kwanza line yake maana kama imepigwa mahali wa kwanza kuchekiwa ni ilipotolewa line ya mwenye simu iliwekwa ipi na ikafuata ipi..Ukiona mtu anakuuzia simu halaf picha inaonesha No sim card, Offline mode, emergency call, no service, display ipo off au mazingira yyt ambayo huoni pale juu kwenye laini ikisoma anza kutumia akili yako vzr.
Au kwa ufupi usikubali kununua simu ambayo muuzaji haitumii ktk mawasiliano, kabla ya kununua hakikisha anaweka laini yake na anawasiliana,
Akili kumchwako, za kuambiwa changanya na zako.
Kwa wale wanaonunua simu mikononi/mtumba au refublished/jailbroken ukiuchukulia au Ukiona huu ushauri ni wa kizwazwa sawa tuu maana maisha ni kuchagua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado ipo mkuu tuongee 0765905456Samsung Galaxy S5 ram 2g internal 16gb ina fingerprint clean bei 200000 no 0714018677
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado ipo hii mkuu, nicheki 0676042425S7edge inauzwa ina creak kioo but unatumia bila tatizo kwa bei poa 380 tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua 400000
Ipo hii mkuu, ni pm au wsap 0765905456samsung j6 plus
32gb
no dents
068 393 1324View attachment 1005980View attachment 1005981
Sent using Jamii Forums mobile app
Naitaka hii km ipo nichek 0676042425Galaxy s7 edge
4GB ram
64GB rom
Simu ina crecks mfuniko na kioo.
Pesa inayotakiwa ni 370kView attachment 1003335View attachment 1003336View attachment 1003337
Sent using Jamii Forums mobile app
150kSamsung Galaxy S5 ram 2g internal 16gb ina fingerprint clean bei 200000 no 0714018677
Sent using Jamii Forums mobile app