Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Ukiona mtu anakuuzia simu halaf picha inaonesha No sim card, Offline mode, emergency call, no service, display ipo off au mazingira yyt ambayo huoni pale juu kwenye laini ikisoma anza kutumia akili yako vzr.
Au kwa ufupi usikubali kununua simu ambayo muuzaji haitumii ktk mawasiliano, kabla ya kununua hakikisha anaweka laini yake na anawasiliana,

Akili kumchwako, za kuambiwa changanya na zako.

Kwa wale wanaonunua simu mikononi/mtumba au refublished/jailbroken ukiuchukulia au Ukiona huu ushauri ni wa kizwazwa sawa tuu maana maisha ni kuchagua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bonge la point hasa hapo kwenye kuweka kwanza line yake maana kama imepigwa mahali wa kwanza kuchekiwa ni ilipotolewa line ya mwenye simu iliwekwa ipi na ikafuata ipi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
INAUZWA
XIAOMI REDMI NOTE 2 Dual sim
Network 4g
Storage 16gb
Ram 2gb
Camera 13mp led flash
Selfie 5
Battery 3030
Display 5'5

Simu iko vizuri sana
Bei 200000/-
P_20190130_090905_vHDR_On.jpeg
P_20190130_090534_vHDR_On.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tecno camon cx
Bei ni 220k

Tecno camon c9
Bei ni 160k.

Location ni Tabata segerea

Simu bado zipo kwenye ubora wake japokuwa zimetumika mda usiofahamika.

Nicheck 0763976109
20190131_122217.jpeg
20190131_122221.jpeg
20190131_122238.jpeg
20190131_123807.jpeg
20190131_123816.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji95][emoji95][emoji298][emoji298][emoji298][emoji298]
Dell Latitude E6530
HDD500Gb
Ram 8Gb
coi 5(2.70Ghz)
battery inakaa na charge masaa manne
inbox me if interested
price 400k
No 0714018677

Bado Ipo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom