Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

iPhone 4s
IMG_0526.JPG
IMG_0527.JPG
IMG_0527.JPG
IMG_0525.JPG
toa ofa yako cm haina tatizo lolote


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina Samsung J7 Neo (silver).
Iko poa sana haina crack wala mkwaruzo. Bado ina warranty, risiti ipo, Chaja OG na earphones OG vyote vimekuja na simu.

Nataka exchange na Xiaomi nzuri nzuri, nataka kubadili ladha tu.
Mwenye interest aje PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
s9 plus model ya uhakika SM-G965F/DS ni kama 1.2 - 1.5M, S10 Model ya SM-G975F/DS ni 2.2-2.5M.
kumbuka hizi s10-series LEO mida ya usiku kwenye saa tano hv ndio zinaanza kuingia sokoni/kusambazwa rasmi kwa zones and carriers zote.
Watu hawajui tu ila models namba zina matter SANA hasa kwenye samsung na iphones, sasa jichanganye ununue samsung yyt models namb mwisho umeandikiwa V,T,S,ATT n.k, ukipata ambayo haitakusumbua NETWORK kwa mazingira yetu haya shukuru na nenda katoe sadaka, na ukiona inapiga kazi vizuri ujue ilipaswa iwe zaidi ya hapo na ukitaka uone utofauti tafuta F/DS ulinganishe kwenye signal strength (-dbm) au nenda sehem yenye shida ya network ndio utaona tofaut zao
Mmmhh Mkuu upo vizuri. Hizi models ni kweli inabd kua makin. Kwa jinsi hiyo naona bora ukiwa na hela yako nzuri uagize moja kwa moja toka samsung wenyew.
 
Samsung galaxy j5 pro
2GB ram
16GB rom
13mp r.camera
13mp s. Camera
Os version 8.1.0
Location ni Tabata segerea
Bei ni 230k

Nicheck 0763976109 tufanye biashara
IMG_20190312_132632.jpeg
IMG_20190312_132727_HDR.jpeg
IMG_20190312_132736.jpeg
IMG_20190312_132745.jpeg
IMG_20190312_132804.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
iphone 5s
16gb
haina tatizo ipo kwenye hali nzur haina michubuko wala crak
bei 190000
ipo dsm

0758 556283

IMG_0557.jpg

IMG_0558.jpg




Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom