Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

K
IMG-20190319-WA0006.jpg


Kama unahitaji Redmi Note 7 yenye 64Gb mpya full box ni laki 6 tu. Malipo baada ya kukukabidhi simu yako. Njoo inbox
 
Tecno L 9 plus inauzwa bei lak 40

Ram 2gb
Storage 16 gb
Android 7
Ina krak kwenye tachi bado ipo vizur na inapiga kazi vizur

Finger print

Mawasiliano : 0758556283

20190319_183634.jpeg
20190319_183450.jpeg
20190319_183659.jpeg
20190319_183715.jpeg
20190319_183929.jpeg
 
J1 Ace naiacha kwa 70k tuu
Ina creck kweny screen lakin inapiga kaz fresh

Nipo Mwanza

Bei inaongeleka

0746510577
20190319_171146.jpeg
20190319_171219.jpeg
 
Tecno T349 mpyaaa full box
Ipo Mwanza

Imetumika mwez mmoja tuu

Bei ni 18000 tuu

0746510577
20190319_190312.jpeg
 
Nan alikwambia tecno hazipo ulaya, wakat tecno ndio mdhamin wa timu ya man city kwa sasa na baadhi ya wachezaji kama aguero na de bruyne wanatumia [emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuwa mdhamini wa man city siyo shida. Soko la tecno ni africa. Unless kama kuna model wazoziuza ulaya ila siyo hizi models zetu zinazokuja bongo
 
Nahitaji smartphone ya bei ndogo sana kwa ajili ya kuungia tu hotspot kwenye laptop. Kama una smart yoyote inayofiti kwenye hiyo criteria njoo PM au nicheck 0673247812. Pesa ipo mfuko wa shati.
 
Back
Top Bottom