Kama unahitaji simu janja kali sana,njoo nikuuzie hii hapa.
Kwa wale wanaopenda self kwenye dreamliner, mbudya beach n.k,
baaass simu
Ina camera ya mbele 20mp,ukiji selfisha mpk chunusi unaiona .
Camera Nyuma ni 16mp.
Wazee wa kusafiri,itakufaa sana kwa charge hauhitaji power bank,3750 mah.
Kingine
Lkn pia kama una tatzo LA macho,ukitazama mwanga kwa muda,kichwa kinauma.
Basi simu hii INA jali macho yako,
Ina option ya "eye care"
Eye care tints your screen amber. This makes it easier to look at your screen or read in dimlight,and may help you fall a sleep more easily.
Hii hapa.
Tecno Camon X ca7
Ram 3gb
Storage 16gb
Color gold
Good condition
Price 310k
Bei inapoa kidg njoo inbox,
Location Dar es salaam.
Karbuni.
Au Kama una simu inayofanana specification na hii,basi km upo serious njoo tubadilishane.