Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Samsung galaxy c9 pro.
6gb ram
64gb rom
Bei ni 550k
Location ni Tabata Bima
Nicheck 0763976109
IMG-20190422-WA0004.jpeg
IMG-20190422-WA0005.jpeg
 
nimeona hapo kwenye model SM-G928T, siku nyingne ukiona samsung yyt inayoishia na herufi tofauti na F/DS mf SM-G928F/DS au haina heruf nyuma ni namba tu kimbia, mf SM-G9280, ujue unauziwa unlocked na mtumba iliyotumika kwa angalau 2 yrs, na shida yake kubwa inakua kwenye network, unaweza usigundue kama upo sehem yenye network nzur , ila ukienda sehem yenye shda kdg tu ya network yako itasumbua ila nyingne zitapga kazi,
kwa ufup ni zile simu ambazo kwa huku bongo tunasema zimeflashiwa, au kwa lungha nyingne ni kama zile simu zinazouzwa kwa promotions na tigo ambapo lain lazima iwe ya tigo/inasoma tigo tu, sasa ili utumie lain za mitandao yote unaenda kwa wajanja wanaiflash,
kimbembe cha ku flash simu najua weng tunakifaham,

Hivyo epuka simu zinazmishia na heruf kama T, V, AT&T n.k hizo herufi ni majina ya zile kampuni za simu zilizoingia ubia na samsung: T- for T-mobile, V- for Verizon, AT&T- for american telephone and telegram.

pili epuka samsung yoyote ambayo imeandikwa jina kwa nyuma chini mf galaxy s6+ tofaut na neno samsung kwa nyuma juu, inatakiwa juu kue na neno samsung, chini kue na info za simu kwa maandisi madogo mf model(na hapa ndio unatakiwa ujue ile model kama ni hayo ma T, au F/DS) imei n.k au kama ni lain mbili watakuandikia neno DUOS juu ya hayo maandish madogo, kwaio ukiona tofaut na hvyo kimbia, na pia kama hakujaandikwa chochote kbsa pia anza kutumia akili yako vzr.

Mara nying refubs ndio zinakua na haya mapicha picha.
Inatikwa kwa nyuma iwe hivyo kama hapo kwenye picha au?
samsung-galaxy-note-4-1.jpeg
 
Nauza Tecno j8 Boom iko vizuli aimjui fundi iko sawa inakasi ya ajabu mtandaoni 150000 mwenye kuitaji nitafute 0759154798 nipo dar
FB_IMG_15560012604991075.jpeg
 
Natafta s7 edge ya gold.
Nipigie 0716119347
Iwe nzima na bei nzuri nalipia hata saivi .
Nipo sinza mori.
 
Iphone 5s
Gold
Brand new full accesories
32gb
330000tsh fixed
Call 0715119347
 
Samsung galaxy A5 duos
Rom 16Gb
Ram 2GB
Rear cam 5mp
Back cam 13
Mint condition
200k.
Screenshot_2019-04-23-11-24-28~2.jpeg
 
Huawei P20 lite
4GB + 64GB
Dual Camera 16mp + 2mp
Screen size 5.8"

Bei 750,000/=

Contact 0654 910 120

Duka lipo mtaa wa aggrey na msimbazi.
IMG_20190423_100158_HDR.jpeg
IMG_20190423_100247_HDR.jpeg
 
Samsung Galaxy S9+ (256 gb) Full Box

Color Purple
Memory 256 gb
Ram 6 gb

Price 1,300,000/-
Location Agrey st Kariakoo

Contacts 0652332255
Strictly No Exchange deals.

Dual Simcards.
FB_IMG_1556107314755.jpeg
FB_IMG_1556107318348.jpeg
FB_IMG_1556107333647.jpeg
FB_IMG_1556107323918.jpeg
 
Samsung Galaxy S8 (64 gb) Still In New Condition

Color Black
Memory 64 gb

Price 650,000/- (No Exchange)

Location Agrey st Kariakoo
Contacts 0652332255
20190424_165146.jpeg
20190424_165422.jpeg
20190424_165158.jpeg
 
Back
Top Bottom