Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatikwa kwa nyuma iwe hivyo kama hapo kwenye picha au?nimeona hapo kwenye model SM-G928T, siku nyingne ukiona samsung yyt inayoishia na herufi tofauti na F/DS mf SM-G928F/DS au haina heruf nyuma ni namba tu kimbia, mf SM-G9280, ujue unauziwa unlocked na mtumba iliyotumika kwa angalau 2 yrs, na shida yake kubwa inakua kwenye network, unaweza usigundue kama upo sehem yenye network nzur , ila ukienda sehem yenye shda kdg tu ya network yako itasumbua ila nyingne zitapga kazi,
kwa ufup ni zile simu ambazo kwa huku bongo tunasema zimeflashiwa, au kwa lungha nyingne ni kama zile simu zinazouzwa kwa promotions na tigo ambapo lain lazima iwe ya tigo/inasoma tigo tu, sasa ili utumie lain za mitandao yote unaenda kwa wajanja wanaiflash,
kimbembe cha ku flash simu najua weng tunakifaham,
Hivyo epuka simu zinazmishia na heruf kama T, V, AT&T n.k hizo herufi ni majina ya zile kampuni za simu zilizoingia ubia na samsung: T- for T-mobile, V- for Verizon, AT&T- for american telephone and telegram.
pili epuka samsung yoyote ambayo imeandikwa jina kwa nyuma chini mf galaxy s6+ tofaut na neno samsung kwa nyuma juu, inatakiwa juu kue na neno samsung, chini kue na info za simu kwa maandisi madogo mf model(na hapa ndio unatakiwa ujue ile model kama ni hayo ma T, au F/DS) imei n.k au kama ni lain mbili watakuandikia neno DUOS juu ya hayo maandish madogo, kwaio ukiona tofaut na hvyo kimbia, na pia kama hakujaandikwa chochote kbsa pia anza kutumia akili yako vzr.
Mara nying refubs ndio zinakua na haya mapicha picha.
ndio, au kwa zile ambazo mfuniko wa nyuma haufunguki/battery haitok basi hapo chin kue na maandish/info muhm za cm kama model, imei n.kInatikwa kwa nyuma iwe hivyo kama hapo kwenye picha au?View attachment 1077939
Picha?Kuna Oppo A7
64gb
3gb RAM
4230MaH
Glazing Blue color
Very Clean
Njoo na Budget yako
0744474683
Location Dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kwenye kioo kama kimevunjika vunjika?Samsung galaxy c9 pro.
6gb ram
64gb rom
Bei ni 550k
Location ni Tabata Bima
Nicheck 0763976109View attachment 1077935View attachment 1077936
Ntakutafuta soon mkuu, kuna jamaa anajipendekeza hapa...
Weka mawasilianoSamsung galaxy A5 duos
Rom 16Gb
Ram 2GB
Rear cam 5mp
Back cam 13
Mint condition
200k.View attachment 1078885
Nineziona Zanzibar hizi simu, maduka ya Zanzibar mengi tu yapo ya hizi simu za zamani kama una mtu Zenji akusaidie kuchukuaView attachment 1078722
Nokia Xpress music 5310
View attachment 1078725
Nokia E61i
View attachment 1078728
Blackberry Torch 9800
Wana JF natafuta hizi simu kwa mwenye nayo/nazo na zinafanya kazi please let's do business