Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Mtakuja kutapeliwa kwa kupenda vitonga hakuna 7 plus yoyote mpya kwa sh 600k kuweni makini hapa ni mjini kama huna hela jichange kwanza utakuja kulizwa.
Huyo jamaa ni tapeli anadai yupo zenji umtumie hela akutumie mzigo post zake zite katoa comments watu waliotapeliwa wasieeze kuwashtua hapa ni mjini ukipenda kitonga utakiwa hayaa

Mimi huwaga sijibu raia machinoo Kama hao bora wewe hata umemjibu, yaani mali ya kwangu Mimi bei anataka kupanga yeye
 
Mimi huwaga sijibu raia machinoo Kama hao bora wewe hata umemjibu, yaani mali ya kwangu Mimi bei anataka kupanga yeye

ni kweli huo utapeli wa zanzibar mbona ni wa muda sasa weng sana wamelizwa ila sjui kwann bado wengne wana fall kwenye hio trap


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
vivo x21
display 6.3"Corning Gorilla Glass 3
ram 6gb
rom 128gb
fingerprint
face unlocker
Dual camera 12mp/5mp
selfie 12mp
android 9

*Imebaki 1*
Bei 400k
IMG_20191229_112140_2.jpeg
IMG_20191229_113929_2.jpeg
IMG_20191229_112222_5.jpeg
IMG_20191229_112152_5.jpeg
IMG_20191229_114046_3.jpeg
IMG_20191229_114107_6.jpeg
IMG_20191229_112102_1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka yote hayo kanunue dukani, simu hizi za kuuziana mikoni mpka mabox na mashariti kibao wkt mtu anauza either ana emergency au kaichoka simu anabdilisha huo mda wa kutunza box la simu
TUNAKUMBUSHANA TUU

Kwa kuzingatia hayo ya hapo juu ya kuhakikisha unapata risit ya pili yenye full inf

Pia Ukienda kununua simu hakikisha
Unapewa simu kwenye boks original la simu hio

Yaani namaanisha hakikisha
Imei # iliyopo kwenye Simu ndio hio hio iliyopo kwenye boks, na tena KIUHAKIKA ZAIDI hakikisha

Imei number anayokuandikia kwenye risit yako anaisoma kutoka kwenye simu unayonunua na sio boks au iliyokosewa..

Yaani kiufupi
Kama umenunua
Simu A, hakikisha unapewa Boks A na reset A

Sasa wewe chukulia poa

Unauziwa simu kwenye Boks ambalo si la simu hio,
Na mwenzako naye kauziwa simu kwenye boks ambalo ndio lako sasa..

Siku kapoteza simu...
very simple atangalia imei kwenye boks au risit atapeleka police wata ku trace wewe...

Unakuja unatoa reset ujitetee,
Kumbe siku anaandika imei kwenye risit hukua makini ukaacha akaandika imei kutoka kwenye hilo boks lako fake(ambalo simu yake ndio imepotea sasa) na sio simu, na bahat mbaya mwenzako naye aliandikwa imei kwenye risit kutoka kwenye boks(ambalo simu yake unayo),

Kwaio boks lako(ambalo ndio la simu hio) analo yeye,
Imei ya simu hio ipo kwenye risit yake...

Yaani
Wewe unasimu A, reset B na Boks B
Mwenzako yeye ana reset A na Boks A

Hahaaaa simple logic
A goes with A's
B goes with B

Then Simple math
3 : 2

Who win???

Utatokea wapi
Boks ulilonalo linakukataa...
Risiti uliyonayo inakukataa
Simu uliyonayo inakukataa..


Maana uhalali wa simu ni unaletwa na risit na boks halali.....

Oky
Utasema basi utatumia Imei za kwenye boks/risit yako ku trace simu iliyoibiwa sasa...

Kumbuka yy anajua kbsa kaiiba....
Na anajua imei itavutwa...
Haya sasa keshaibadilisha..
Una trace unaambiwa imei haipo....

Hahhaaa aloooo aibu yote kwakooo

Sasa wewe chukulia poa uone hii ni nadharia....

Umakini huo ungekusaidia sio tuu kuepuka kuonekana mwizi bali hata wewe endapo utapoteza yako.


Za kuambiwa changanya na zako...
Neno langu si sheria..

Nimewaza tuuu..

Upendo na amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom