Wauza smartphone tukutane hapa

Wauza smartphone tukutane hapa

Shukran Mkuu vipi upande wa battery inaweza kumaliza siku bila kuchaji huku data ikiwa on
kama unaacha data on,na si kuchart muda wote inatoboa siku,yaani unalock somtime unapiga,na kusoma sms au whatsapp,insta,fb,jf some time inatoboa siku.
ila matumizi mazito ya kukaa onscreen muda wote ni masaa 6 tu.
 
iPad apple hiyo apo safi kabisa haina tatizo lolote

Price: 800,000/=Tu (Negotiable)

Contacts: 0621 917 407
IMG_20200706_164913_4.jpeg
IMG_20200706_164739_3.jpeg
IMG_20200706_164804_9.jpeg
IMG_20200706_164840_5.jpeg
IMG_20200706_164854_2.jpeg
 
Cover waterproof za simu.
[emoji93] Haziingizi maji na unaweza kutumia simu ukiwa kwenye mvua au unaogelea.
[emoji93]Zinafaa kwa smartphone za aina zote.
[emoji93]Bei 8000sh kwa piece moja.
[emoji93] Waliopo Dar unaletewa popote ulipo na mikoani tunatuma.
[emoji93]Kwa maelezo zaidi tutafute kwa simu namba 0762370433 au WhatsApp +8618454122335View attachment 1520344View attachment 1520345
IMG_20200729_121344.jpg
 
Back
Top Bottom