cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Ahsanteeeee!!!Yes nzuri, karibu inbox
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsanteeeee!!!Yes nzuri, karibu inbox
Na usisomeee tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nifanyie wepesi mwenzio sijasoma cuba[emoji23][emoji23]
Hivi Samsung Note 10+ hakunaga za laini mbili?
Nimetafuta sanaaa nimejichokeaa.
Hii ni Proof ya kua Simu nyingi zinazokuja futuhi ni mtumba na Refurb kutoka nje,Hivi Samsung Note 10+ hakunaga za laini mbili?
Nimetafuta sanaaa nimejichokeaa.
Hii ni Proof ya kua Simu nyingi zinazokuja futuhi ni mtumba na Refurb kutoka nje,
Note 10+ ya laini mbili zipo na ni kwa Global(international)Market, kwahio ndio maalum kabisa kwetu sisi, lakini hatuzipati, kwa nini???
Iko hivi
laini moja ni za US, Europe, Canada, China Brazil na korea huko, Na nyingi zinakua Carrier Unlocked, kasoro za ulaya(zenye model inayoishia na ....F)
Kwahio wanatumia wazungu huko, wakizichoka wanazitoa lock then wanatuuzia kama mtumba, Au
Zikiwaharibikia/Chakaa wanazipeleka viwandani zinaboreshwa zinakuja tena kama Refurbished(ndio zile nyingi unanunua zina vi stika).
Zile Global za laini mbili(....F/DS, ukiona Samsung yyt model namba yake mwisho ipo hivyo jua ni Global/international Model) hazitumiki huko kabisa au hutumika uchache kwa baadhi ya nchi, hivyo hizo chache ndio zinakuja au basi uende dukani uinunue kama mpyaa, kitu ambacho hatuwezi, Au Usubiri baada ya Mda flani Zitashuka bei zaidi ndio utaziona..
Asaiv ukiangali Samsung S6 Edge+, simu ya Mwaka 2015 zipo nyingi sana za laini mbili, kitu ambacho ulikua unatafuta hupati, Sababu ni nini? Zilikaa sana kwenye ma retail wakazishusha bei wakatumia kidg ndio zikaja futuhi..
USHAURI, kama Unataka Note 10+ ya laini mbili, Cha Kwanza achana kbsa na za 5G(hakuna za Laini 2 KABISA, japo ndio nyingi) Unajua kwa nini? Wakati zinatoka Afrika hakukua na nchi yenye 5G hivyo hakukua na haja ya kutengeneza za afrika, kwahio zikaishia nje, Kwahio Cheza na za 4G, sema inshu ni kwamba tunarudi pale pale hizo zao za 5G ndio zimejaa.
Daadeki, kama kawaida yakoo...Hii ni Proof ya kua Simu nyingi zinazokuja futuhi ni mtumba na Refurb kutoka nje,

Mbona ya kwngu model number yake inaishia na F/DS alafu ni 5G, single line hii imekaaje...?Hii ni Proof ya kua Simu nyingi zinazokuja futuhi ni mtumba na Refurb kutoka nje,
Note 10+ za laini mbili zipo na ni zinatengenezwa kwa Global(international)Market, kwahio ndio maalum kabisa kwetu sisi, lakini hatuzipati, kwa nini???
Iko hivi
laini moja ni za US, Europe, Canada, China Brazil na korea huko, Na nyingi zinakua Carrier Unlocked, kasoro za ulaya(zenye model inayoishia na ....F)
Kwahio hizi za laini moja unazoziona nying wanatumia wazungu huko, wakizichoka wanazitoa lock then wanatuuzia kama mtumba, Au
Zikiwaharibikia/Chakaa wanazipeleka viwandani zinaboreshwa zinakuja tena kama Refurbished(ndio zile nyingi unanunua zina vi stika).
Zile Global za laini mbili(....F/DS, ukiona Samsung yyt model namba yake mwisho ipo hivyo jua ni Global/international Model) hazitumiki huko kabisa au hutumika uchache kwa baadhi ya nchi, hivyo hizo chache ndio zinakuja au basi uende dukani uinunue kama mpyaa, kitu ambacho hatuwezi, Au Usubiri baada ya Mda flani Zitashuka bei zaidi ndio utaziona..
Asaiv ukiangali Samsung S6 Edge+, simu ya Mwaka 2015 zipo nyingi sana za laini mbili, kitu ambacho ulikua unatafuta hupati, Sababu ni nini? Zilikaa sana kwenye ma retail wakazishusha bei wakatumia kidg ndio zikaja futuhi..
USHAURI, kama Unataka Note 10+ ya laini mbili, Cha Kwanza achana kbsa na za 5G(hakuna za Laini 2 KABISA, japo ndio nyingi) Unajua kwa nini? Wakati zinatoka Afrika hakukua na nchi yenye 5G hivyo hakukua na haja ya kutengeneza za afrika, kwahio zikaishia nje, Kwahio Cheza na za 4G, sema inshu ni kwamba tunarudi pale pale hizo zao za 5G ndio zimejaa.
14 pro max GB Ngapi ni Tsh 3.3M.USED ORIGINAL IPHONES FROM UK & USA.
iPhone:-
6 plain 230k
6+ 270k
6s 270k
6s+ 330k
7 plain 32GB 380k
7 plain 128GB 380k
7+ 32GB 350k
7+ 128GB 430k
8 plain 380k
8+ 480k
X 550k
Xr 630k
Xs 700k
Xs max 850k
11 plain 800k
11 pro 1.2m
11 pro max 1.3m
12 plain 1.1m
12 pro 1.5m
13 plain 1.6m
13 pro 2m
13 pro max 2.3m
14 plain 2.2m
14 pro 2.9m
14 pro max 3.3m
10 months Warranty.
Exchange & [emoji772] Allowed[emoji736]
Discount [emoji736]
0676721372[emoji338]
Kariakoo .. China Plaza 2nd Floor[emoji625]
128GB Boss14 pro max GB Ngapi ni Tsh 3.3M.
Natumai itakua imeandika SM-N970F/DS..Mbona ya kwngu model number yake inaishia na F/DS alafu ni 5G, single line hii imekaaje...?
nyuma ya simu...Natumai itakua imeandika SM-N970F/DS..
Hii inamaanisha Free Model(F)/ Dual Sim(DS) Global Version
Hio / inamaanisha Au, hivyo
Kwahio unaweza ukapata ya free model ambayo ni singo,
Au dual Sim ambayo ni laini mbili,
Lakini zote kwa ujumla zinapewa model number moja...
Lakini pia naomba nikuulize,
Ni wapi umesoma hio model numbe ...F/DS? Nyuma ya simu au ndani kwenye about phone?