Wauza uduvi jijini Dar hatarini kuolewa!

Wauza uduvi jijini Dar hatarini kuolewa!

Lazima tupeane changamoto kama hizi kwenye maisha ili tusibweteke,
Hii haina tofauti na mwenye nyumba ,anapompelekesha na kumsumbua mpangaji, inaleta hasira na chachu ya kumpambana zaidi ili upate yako,
Mwanaume ni kupamba haswa
Kati ya Mtumishi wa UMMA / Mla Mshahara kutokana na Kodi na Mwananchi ambaye analipa Kodi kwa kazi yake (yoyote ile) nani ni mwenye Nyumba na Nani ni Mpangaji?!!!

Nadhani tatizo wengi hatujui hata nini ni Nini na tofauti ya Hisani na Wajibu....

 
Back
Top Bottom