Wauzaji mayai mmekumbwa na Nini trey 5000?

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,981
Reaction score
3,631
Habari wakuu, leo katika pilika pilika zangu za manunuzi ya mayai ya kisasa dar nimeshanga kukuta bei ya mayai sh 5000 wakati baada kama mwezi mmoja Uliopita ilikuwa 8500, sekta hii imekumbwa Nini?
 
Chakula cha kuku kitakuwa kimeshuka bei
 
Nahisi ni hali ngumu waliyonayo wananchi maana kipato kwa kweli kimeshuka.na bado yatashuka sana.mm kuna mama mmoja ameuza kuku wake 200 kwa 1@ sh. 7500 .
 
Hakuna pesa Mkuu demand imeshuka kwa kasi ya kutisha wakati supply bado iko juu, hivyo ili kuvutia wateja ni lazima kushusha bei vinginevyo yatadoda na kugeuka mayai viza. Hapa majanga tu!

Habari wakuu, leo katika pilika pilika zangu za manunuzi ya mayai ya kisasa dar nimeshanga kukuta bei ya mayai sh 5000 wakati baada kama mwezi mmoja Uliopita ilikuwa 8500, sekta hii imekumbwa Nini?
 
Next week Nadhani itakuwa 4000 duuh
 
Kipindi cha baridi kuku huwa hawatagi kwa wingi kwaiyoo supply inakuwa ndogo.

Joto likianza kuku hutaga kwa wingi supply inakuwa kubwa.

NB: usije ukauliza joto limeanza mda matokeo hayaji gafla.
 
Kwa hiyo na ile blackforest cake itashuka bei pale sserena hotel?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…