Singidan
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 881
- 942
Mkuu sio huko tu, hata mikoani morogoro debe 1000 hadi 800, na hizo ndiyo umepeleka sokoni. Shamban ndo usiseme. Wakulima wamesusa mashamba yao ya nyanya maana hakuna wateja.....kila mtu nyumbani anafuga na kulima nyanya ,tikiti nk sasa unadhani nani atanunua ya nani na ukata huu. kusini huko tenga au ndoo kubwa la nyanya 1500/= .......